jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,691
- 41,849
Jiheshimu kutukana wasukuma ni jambo la kushangaza sana..na sijafurahishwa..ni bora ukae kimya au utumie maneno mengine kuonyesha hisia zako sio kutukana kabila la mtu..
Ninakupenda sana Tanzania pia ninakuwazia utakaporudi tena kwa watu walewale wanaokutesa miaka minne na kukubembeleza miezi mitatu
Tanzania ninakufananisha na yule Jamaa ambaye alitekwa na kuteswa sana akapata nafasi ya kutoroka ila alitoka nje na kurudi tena ndani kisa anaogopa Waliomteka na kumtesa labda watamuona
Tanzania upo kwenye mikono ya watu ambao hawataki kujifunza kutokana na makosa nakupenda Tanzania
Tanzania upo kwenye mikono ya watu ambao hawana sifa kuu ya mjasiriamali ambayo ni (risk taker)
Narudia tena chozi litanitoka kusikia unarudi au unafunga tena ndoa ya miaka mitano na Mume ambaye anakutesa kwa miaka minne na kukufariji kwa miezi mitatu nawe unasahau mateso ya miaka minne
hii nchi ina watu wa ajabu sana.
Hii nchi ina watu wa ajabu Sana.
Labda watanzania tumeshazoea shida na kuona kuwa tuko peponi.
Lack of exposure ni shidaaaa
hii ndio tz mtu ata akiumwa maralia ana kemea eti ni pepo.
Tafiti nyingi zinaripoti kuwa wanaoiunga ccm mkono ni wajinga na watu waliojikatia tamaa..!!
imbecile nation
Watumwa wanadai utumwa. Maskini wanadai umaskini.. Hiyo ndio karma. You get what you want.Tunarudi utumwani sababu iko wazi. mnaotaka kuendelea shauri yenu. Tujitegemee wala tusihangaike na wajinga. Ujinga ujinga tuu
Hasa masukuma hovyoooo kama nyumbu kule Serengeti
Watanzania wanaakili sana. hawawezi kukabidhi mifugo yao kwa fisi aliyerarua mifugo hiyo eti kwa kuwa kuna kikundi cha watu kinawaaminisha kwamba fisi huyo sasa hana tena meno na kucha kwakuwa wamenufaishwa