Maskini na chuki kwa Lowassa

nyerere pia alikuwa na wivu wa kijinga muda mwingine

Unalipofika sasa ni pabaya, kama unaweza kumtukana baba wa taifa letu kipuuzi puuzi tu kisa umtetee EL hakika unakosea.
Najua yawezekana umelewa vijisenti hivi mnavyopewa ili kumsafisha huyu ndugu yenu, sawa, sio mbaya kuchukua hizo hela kwani ni mali ya watanzania inayorudi indirectly. Lakini siwezi kaa kimya nikiangalia wewe pamoja na walevi wenzio mkimtukana Mwalimu. Fanyeni mashara yenu, tukananeni muwezavyo lakini tafadhali mtunzieni heshima yake Mwalimu Nyerere.
Mazungumzo mema.
 
Unaweza kuwa na hoja ya msingi katika utetezi wako juu ya Lowassa kama ulivoeleza. Lakini nina mashaka na uwasilishaji wako, mkuu.Sababu ni nazo.Nia ni nayo.Na uwezo ni nao wa kueleza kwanini ninasema hivyo....
 
Lowassa amekuwa PM haifiki hata miaka 3. Amepiga deals zake kama ambavyo watangulizi wake walivyofanya. Kilichomsibu ni pale alipoamua kuwajibika, kumbe kizazi cha leo hatuhitaji watendaji kuwajibika. Hebu tuwatazame akina Nkapa, mama Nkapa, Sumaye, Msuya na mawaziri wa enzi hizo akina Mramba, Yona, Simba, Diallo etc. Kinachomsibu huyu ni kuwajibika kwake tu.
Yanitatiza sana kuamini kama kweli EL ndie amesababisha hali ya maisha kwa watanzania kuwa ngumu kiasi hiki, NOP.

kama huna data usibwabwaje tuu!!
huyu ni MWIZI wa mali za umma na ndo maAna alilaaniwa na nyerere!
 
Sitta na Genge lao la wahuni lisipong'olewa nchi itaelekea pabaya, wanautaka uraisi kwa gharama yoyote na mtu pekee wanaemuona kikwazo ni EL, wamekuja na agenda ya SUMU, kama kweli Mwakyembe kapewa sumu si watoke hadharani na vyeti vinavyoonekana kapewa sumu! I hate Propaganda!

CCM wameoza wote sasa Samwel Sitta leo ndo anaonekana hafai. CCM HAMFAI WOTE PAMOJA NA WEWE.
 
mi mbona na pesa zangu za kutosha lakini namchukia huyo baba yako kwa matendo yake maovu kweli kweli
 
nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa
wanalaumu kwamba yeye ndio aliyefanya maisha yao yawe magumu kitu ambacho sio kweli
watu ambao wanafaa
kuwachukia ni wazazi wao waliowa rithisha umasikini wazazi wao walikuwa wazembe wakati wazazi wa wenzao walipokuwa wanatafuta maisha bora
kazeni acheni lawana za kitoto

Wewe ni kiboko ya mkeo au wale machangu wa kona bar; nimekupuuza toka nipoiona hiuo post yako jana asubuhi, nikaangalia muda uliopost nikagundua ni usiku wakati huo ulikuwa either umevuta mdudu rushwa au umekunywa chang'aa - ukiwa chakari.
Ila kadiri ninapoona haijaondolewa naona kichefu chefu, wewe inaonyesha wewe maisha yako ni ya upambe na ukuwadi. Maisha magumu tuliyokuwa nayo waTz si EL pekee aliyechangia. Lakini nikwambie kitu LOWASSA NI MWIZI WA MALI ZA UMMA, utajiri alionao huyu mtu ni mkubwa mno kuzidi wafanya biashara maarufu hapa. Mtaji aliupata wapi?
 
kama huna data usibwabwaje tuu!!
huyu ni MWIZI wa mali za umma na ndo maAna alilaaniwa na nyerere!

we unazo ? Acha kujidanganya wewe . Kwani nyerere ni Mungu ? Nyerere hakuwa na makosa ? Unajua nani kalifikisha hili taifa hapa au unaongea utumbo tu ?
 
we unazo ? Acha kujidanganya wewe . Kwani nyerere ni Mungu ? Nyerere hakuwa na makosa ? Unajua nani kalifikisha hili taifa hapa au unaongea utumbo tu ?

hebu nisaidie nyerere ndo kaharibu hii nchi hilo lipo wazi
 
Back
Top Bottom