Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,591
Lowasa ndiye aliyewasadia kwa umaskini wao angalau waambulie kupeleka watoto wao shule za kata, nadhani hili ndio kosa lake kubwa angeiacha tu hii mitoto ya Malofa ikimaliza Primary school waje kutukaba mitaani!!Ndo maana hii nchi haiendelei, watu tumejaa wivu tuuu! Kila siku Lowasa Lowasa, utafikiri yeye ndo chanzo cha umaskini wao, wazazi wenu walikuwa maskini kabla hata Lowasa hajawa Waziri!!
nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa
wanalaumu kwamba yeye ndio aliyefanya maisha yao yawe magumu kitu ambacho sio kweli
watu ambao wanafaa
kuwachukia ni wazazi wao waliowa rithisha umasikini wazazi wao walikuwa wazembe wakati wazazi wa wenzao walipokuwa wanatafuta maisha bora
kazeni acheni lawana za kitoto

Hivi mr. munduli amewai kwenda kumjulia hali mr. kyela??Sitta na Genge lao la wahuni lisipong'olewa nchi itaelekea pabaya, wanautaka uraisi kwa gharama yoyote na mtu pekee wanaemuona kikwazo ni EL, wamekuja na agenda ya SUMU, kama kweli Mwakyembe kapewa sumu si watoke hadharani na vyeti vinavyoonekana kapewa sumu! I hate Propaganda!
Masikini anajua kusafu???
We kaoge ndo urudi humu.
Ndo maana hii nchi haiendelei, watu tumejaa wivu tuuu! Kila siku Lowasa Lowasa, utafikiri yeye ndo chanzo cha umaskini wao, wazazi wenu walikuwa maskini kabla hata Lowasa hajawa Waziri!!
Lowasa ndiye aliyewasadia kwa umaskini wao angalau waambulie kupeleka watoto wao shule za kata, nadhani hili ndio kosa lake kubwa angeiacha tu hii mitoto ya Malofa ikimaliza Primary school waje kutukaba mitaani!!
nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa
wanalaumu kwamba yeye ndio aliyefanya maisha yao yawe magumu kitu ambacho sio kweli
watu ambao wanafaa
kuwachukia ni wazazi wao waliowa rithisha umasikini wazazi wao walikuwa wazembe wakati wazazi wa wenzao walipokuwa wanatafuta maisha bora
kazeni acheni lawana za kitoto
Hapo hujakosea, kwani wazazi majambazi na mafisadi walipotumia fursa za utumishi wa umma kupora na kujilimbikizia walifanya mambo muafaka sana kwa taifa hili. Ndio maana raisi wetu mtukufu halali usingizi kwakuwa anatakiwa kutembeza bakuli nje ili apate fedha ya kuendeshea serikali yake, huku wazazi wenu wenye juhudi na misheni tauni wakiendelea kuifisadi na kuibaka nchi hii. Kweli wewe unaakili kubwa sana kuliko hata mzazi wako mwizi.nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa
wanalaumu kwamba yeye ndio aliyefanya maisha yao yawe magumu kitu ambacho sio kweli
watu ambao wanafaa
kuwachukia ni wazazi wao waliowa rithisha umasikini wazazi wao walikuwa wazembe wakati wazazi wa wenzao walipokuwa wanatafuta maisha bora
kazeni acheni lawana za kitoto
..........wewe tumekutoa juzi tu UVCCM leo una utajiri kupindukia,hapana hutufai kwenye chama.........bila shaka ni maneno ya maskini mwenzetu Julius Nyerere, alazwe pema peponi
Fikra za hovyo!nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa