mhhh ...simo mie..Diet ya wapi mtu anatoka kuwa BONGE MZITO eti sasa ivi anakuwa kama kimwiba
Jamani, poleni na shughuli za hapa na pale
Me naomba kuuliza, hivi huyu mustafa Hassan ally mwanamitindo, huu wembamba alionao ni diet au kuna kitu kingine kimefanyika?
Maana miaka ya nyuma kidogo nilivyomuona na sasa inanipa wasiwasi mie mwenzenu... Wembamba huu ambao kila siku naona kama unaongezeka nini? , Maana kama ni diet, hata mie ningetaka wakati nikija kuwa mnene.
Kituku pole sana na wewe kwakua mbali kidogo na ulimwengu, mambo ya Dr Ray hayo ndugu yangu, huyo Hasanal alifanyiwa surgery akatotewa zaidi ya kilo 30 za mafuta kwa mwili wake, hana cha diet wala cha nini, muindi na diet your teasing.Jamani, poleni na shughuli za hapa na pale
Me naomba kuuliza, hivi huyu mustafa Hassan ally mwanamitindo, huu wembamba alionao ni diet au kuna kitu kingine kimefanyika?
Maana miaka ya nyuma kidogo nilivyomuona na sasa inanipa wasiwasi mie mwenzenu... Wembamba huu ambao kila siku naona kama unaongezeka nini? , Maana kama ni diet, hata mie ningetaka wakati nikija kuwa mnene.
Kituku pole sana na wewe kwakua mbali kidogo na ulimwengu, mambo ya Dr Ray hayo ndugu yangu, huyo Hasanal alifanyiwa surgery akatotewa zaidi ya kilo 30 za mafuta kwa mwili wake, hana cha diet wala cha nini, muindi na diet your teasing.
inafanyika wapi jamani hiki kitu wengine tumelemewa huku......naombeni na cost zake ili nijiweke kamili......
PRETA WACHA UVIVU WW. UKIFUATA DIET MWEZI TU UNAUA KG 10. mi mwenzio nilikua bonge lakini nikafuata diet nikafanikiwa kupunguza kg zaidi ya 12. achana na mambo ya surgery.
ITS UNHEALTHY KULOOSE WEIGHT HARAKA SANA LAKINI UKIAMUA UNAZIKATA TU.
duh....hebu nisaidie hiyo recipe ya dayati......nataka nipunguze juu tuu huku chini niachie nitajimudu