Maskini Dk. Ummy Mwalim amemkosea nini Samia

Kigoma mjini anagombea zitto
 
Yule wa Pwani amepona kwasababu ni kijana wa Rais Kivuli... lakini inaonekana haziivi na matheri..
 
Ummy akae home ni jambazi na mwenye dhuluma ana kashfa nyingi za uonevu na usengenyaji ache akapike uono
 
Meno ya mbwa hayaumani, lazima kuna kipande cha keki kinaandaliwa kwa ajili yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…