chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Jan 22, 2012 #41 maana halisi ya sistaduu ni ipi?
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,960 Jan 22, 2012 #42 Masista duu wa ukweli huwa hawawi wachafu...nini uzoefu na masista duu,so nikimuona tu ata first time najua yupi wa ukweli yupi wa uongo...kama unataka maujanja karibu nikupe shule,nawe uanze kupiga viwango..
Masista duu wa ukweli huwa hawawi wachafu...nini uzoefu na masista duu,so nikimuona tu ata first time najua yupi wa ukweli yupi wa uongo...kama unataka maujanja karibu nikupe shule,nawe uanze kupiga viwango..