Nimejionea kwa macho yangu kabisa siyo kusimuliwa. Unakuta naiti dress imegeuka rangi. na ni hapa hapa bongo. Ukimuona nje uta sema mashallah.huyo ni wakwako.sidhani kama mtu mwenye akili yake mdada kabisa anaweza kukupeleka kwake kukiwa kuchafu
hapo sikubali kabisa uyo ni wa kwako mchafu tena naturaly
wewe ni me au KE?
Nilisha waambia na nitaendelea kuwaambia wawe wasafi bwana siyo barabarani tuwatu wengi ni kama wazaire..usafi wao ni kulipuka pamba tu ila makwao siyo pasafi kabisa..! shtukizia kwa mtu one palivyo, ukipanga uende atafanya zimamoto ya usafi. Hi hayo tu!!
Na wewe hao masistaduu uliwatembelea ungewaambia wazi ni wachafu, wangeona aibu na wangebadilika..
tatizo lako ni huna hela na unataka vinavyoelea
kuna una hela just isiyopungua laki 2.5 ni PM nikupe wasafi wa Arusha nakwambia utameza na visivyomezwa
Umeona ee!!
humu ndani leo kumevamiwa na nini??????????