Masimango na kejeli kwa wanaoonekana wamechelewa kuoa/ kuolewa na kupata watoto uzeeni au umri ukiwa umekwenda

Nakutana nazo sana kwenye matukio ya kijamii,kiukweli niliplan kuoa 2014 ila niiyekuwa nae alimpata mwengine alivyo enda kusoma nikaplan tena 2017 still demu akarudi kwa ex-wake. Yaani mpaka sasa sijui nitaoa lini kwani hawa ambao ninao kutana nao wote vichomi, unaweza ukasema wanatumia template moja ya ujinga,kuendesha mahusiano.

Kuna dem mmoja tu alikuwa rafiki yangu kipindi nipo O-Level na Advance, yule nahisi ndiye kama alikuwa mke wangu. Sema ndio hivyo uoga plus udomo zege kipindi hiko,baadae tukawa tunasoma sehemu tofauti then sasa hivi kaolewa.

Ila swala la kuoa nimemuachia Mungu, sometimes unataka kuforce ila vichomi unavyo kutana navyo bora ubaki single.
😂😂 kazi unayo

Ila wewe special case unahitaji kuchukua hatua madhubuti, kama uli plan kuoa 2014 mpaka leo ni 2014 ni miaka 10 mbele hii sio kawaida inaonekana age impending pia...Fanya utafuta wa kuoa kwa njia ile ya zamani kwa recommendation ya mwanamke kutoka kwa wanaqake watu wazima.
 
Kwa wanawake wa siku hizi itampa lawama anaye kutafutia na kumlaumu kila siku.

Ila atapatikana tuu.
 
Back
Top Bottom