Masikini tunaongoza kwa kuzaana!

Masikini tunaongoza kwa kuzaana!

Hivi unajua nchi za kitajiri unazozisema zimeanza kupata shida ya nguvu kazi....?
 
Shida yenu mnaamini mlichosoma mnadhihaki mnachoishi
Kwenu ninyi mko wangapi??

Kukimbilia kufunga uzazi ni uoga wa maisha kama ilivyo kusoma sana
Maskini starehe yake ni ngono zembe,ajabu wanazaa watoto wengi halafu hawajui hata matibabu wala elimu za hao watoto itakuwaje.Wanaishia kusumbua ndugu kwenye ukoo kusaidia,ajabu sana hii.Mtu azae watoto atakaowamudu.
 
Tuendelee kuzaana kwani wingi wetu na umoja wetu ndio itakua nguvu yetu.
Angalia wachina walipo sasa.
Jeshi Lao lina active soldiers milioni 40..
 
Unajua marekani wapo watu wangapi?
China wapo watu wangapi?
ACHENI KUJIDANGANYA.
Tanzania hamna watu.
Mil 55 mnajiona mpo wengi?
Idadi ya watu haihesabiwi kwa moja mbili tatu. bali nikwa mtu mmoja kwa mita ngapi za mraba. hebu tujiulize. hebu tujiulize mtu mmoja anahitahi heka ngapi kwa kuendesha maisha yake ya kila siku
 
Idadi ya watu haihesabiwi kwa moja mbili tatu. bali nikwa mtu mmoja kwa mita ngapi za mraba. hebu tujiulize. hebu tujiulize mtu mmoja anahitahi heka ngapi kwa kuendesha maisha yake ya kila siku
haujajibu swali. Una jua wamarekani na wachina wapo wangapi?
 
Mimi neno Labor nikiliona nasisimka..jaman hongeren..zaeni km paka..!jaman malezi ya watoto inahitaj hela..sio unamleta mtoto duniani anakuja kuteseka..hapana kwakwel..!
 
Mapori yote haya huyaoni mkuu! Chupa ya chai tu ndo inaweza kujaa
Tanzania hatuna maeneo ya kutosha. Tungekuwa na maeneo ya kutosha, Wakulima na wafugaji wasingekuwa wanapigana na kuuana wakigombania maeneo...
 
Hii kitu haina cha kabila Afrika yote ukikuta jamii ya watu masikini wanazaliana sana kwanini unakuta mtu ana watoto watano na wanapishana miaka miwili miwili. Why?
 
Hii kitu haina cha kabila Afrika yote ukikuta jamii ya watu masikini wanazaliana sana kwanini unakuta mtu ana watoto watano na wanapishana miaka miwili miwili why?
Kwasababu tunapenda watoto wanatupa faraja. Na awamu hii tumeambiwa tufyatue tu watasoma bure.
 
Back
Top Bottom