Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,805
- Thread starter
- #21
Hapana. Kuhasiwa ni kuondolewa uwezo wa kumrutubisha mwanamke ili ashike mimba. Ukihasiwa mashine inaendelea kufanya kazi ila unakuwa hutoi sperm.Unajua maana yakuhasiwa? Me najua maana yake nikuwa hanisi