Masikini tunaongoza kwa kuzaana!

Masikini tunaongoza kwa kuzaana!

Hawafikirii maisha ya kesho yatakuaje, na ndio kitu kilichowapelekea kuwa masikini in the first place
Kuzaliwa familia ya masikini halafu uje kuwa tajiri inatokea mara chache sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda wetu wa ziada tunautumia kumbatona tufauti na wanaojimudu, muda wa ziada say jioni wataenda pata nyama choma ma kugonga 2 3, weekend wataenda movie, swimming au retreat out of the city....sisi sasa muda wa ziada unatazamana na mkeo mwisho wa siku mnaishia kumbato zen watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia picha halisi uswazi hasa vitongoji vya dar ambako wanaishi wakazi asilia wa dar.

Mtu hana kazi ila ana mimba kila mwaka baba tofauti. Wa kwanza kazaa na Dula, wa pili na Roja, wa tatu na J4 na mimba aliyonayo sasa bado anapembuliwa wa kupewa maana mpemba anagoma.

Huwezi mkuta binti aliefika 18 na hajazalishwa japo bado anaishi kwa wazazi.

Kijana wa kiume kwa umri huo nae ana watoto kazaa na mwanahamisi mtaa wa pili na hana hata mia ya kupeleka.

Kazi kubwa ni singeli na kushinda stand kupiga debe,kukata madirish, udokozi na uporaji, bangi na ufiraini wote mpaka wanakuwa wazee.

Ndo chimbuko la panyarooad na majina mengine.

C.c Buguruni,mwananyamala,mbagala,kibada ukiondoa surveyed areas, ilala ukiondoa Sharif shamba, manzese,tandale, kisarawe two,kigamboni ukiondoa jeshini, kigogo yote na mburahati, temeke na mtoni kwa azizi Ali.


Shuleni huwa na tabia za kisengerema na wengi huishia kufukuzwa, akifanikiwa kumaliza mwisho ni sdd 7 akipenya zaidi atafukuzwa shule form 2 ama atamaliza na div o akiwa mkali sana four ya 33.


Shughuli yao kubwa huko ni kuzaana kama utitiri na kupenda starehe kupitiliza kitu kinacholekea maeneo hayo kuwa na uhalifu mwingi na umaskini wakutisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawafikirii maisha ya kesho yatakuaje, na ndio kitu kilichowapelekea kuwa masikini in the first place
Kuzaliwa familia ya masikini halafu uje kuwa tajiri inatokea mara chache sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
eti wana nyege sana na starehe kubwa ni kudinyana unakuta mtu aelewi bora ale mzigo tuuu
 
mnapozungumzia masikini sijui mna maana gani . hivi na wamarekani nao ni masikini?
Wachina nao ni masikini?
Mbona wapo wengi sanaa . kuliko sisi?
Lakini hatuwasemi kuwa ni masikini ndo maana wanazaliana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnapozungumzia masikini sijui mna maana gani . hivi na wamarekani nao ni masikini?
Wachina nao ni masikini?
Mbona wapo wengi sanaa . kuliko sisi?
Lakini hatuwasemi kuwa ni masikini ndo maana wanazaliana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan mleta mada hajakuzudia wingi wa watu nchini but amezungumzia namba ya watoto ndani ya familia moja moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha watu weusi wazaliane cz still we have enough land and natural resources.

Watu weupe wa wanaogopa sana once tutakapokuwa wengi na kujitgemea tutawashinda.
Hii kitu haina cha kabila Afrika yote ukikuta jamii ya watu masikini wanazaliana sana kwanini unakuta mtu ana watoto watano na wanapishana miaka miwili miwili. Why?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom