Masikini tunaongoza kwa kuzaana!

Masikini tunaongoza kwa kuzaana!

Hivi China ingekuwa na raia milioni 50 ingekuwa na uchumi ilionao sasa? Watu ni rasilimali ya kwanza ktk taifa lolote linalokua na lililokwisha kukua.
 
Kukojoa unakojoa. Ila unachokitoa kinakosa uwezo wa kumrutubisha mwanamke.
Aha hapo sawa, ila me navyoona wanawake wanashindwa kufunga uzazi kwasababu nyingi, moja wapo nikutoaminiana namwanaume aliyenae. Ishawahi kusikia wanawake wakiongelea hayo kuwa unafunga uzazi alafu unaachwa, unapata libaba linapesa alafu linamuomba alizalie alafu mda huo alishafunga kizazi inakuwa kapoteza bahati. Kingine niimani potofu, mwanamke anawaza vipi akiwa nawatoto wachache anawaza katika hao wachache kuna mgawanyo hapo kuna mwingine atakuwa chizi, kuna wengine watakufa, nakuna wengine watashikwa nawenza wao nakutowasikiliza wazazi. So hapo jibu anapata nibora azae sana nabaada yamgawanyo wote huo nayeye anabaki nahata nammoja. Uswahili kuna mambo..
 
Hivi China ingekuwa na raia milioni 50 ingekuwa na uchumi ilionao sasa? Watu ni rasilimali ya kwanza ktk taifa lolote linalokua na lililokwisha kukua.
Umenena vizuri mkuu watu ni rasimali ya kwanza; alafu Tena kama sisi Tanzania bado sana. Wenzetu wamejenga chini, underground mpaka hewani sisi chini tu hatujapamaliza.
 
Hiyo ni kweli kabisa.

Hebu fikiria kwa mfano Nigeria karibu 45% ya idadi ya watu ni chini ya miaka 15.

Hata hapa Tz mambo ni hayo hayo.

Kifupi Africa has the youngest population compared to countries of other continents....Europe, America, Australia and Asia.

Watu wanaoishi kwenye jamii duni mara nyingi hawaoni mtoto anahitaji matunzo ya hali ya juu kuanzia elimu, chakula, mavazi, sehemu anayoishi, etc.

Ukipita huko mitaani utaona watoto wengi tu wanautapiamlo lakini wazazi wala hawashtuki.

Kila mtu anaona sawa tu.

Inahitaji ujasiri mkubwa kujikwamua kutoka kwenye aina hizi za mawazo.

Idadi kubwa ya watoto ni mzigo.

Hebu fikiri pato lako ni wastani wa Tsh 500,000 kwa mwezi halafu unawatoto 4.

Hapo maana yake si kuwasababishia watoto stress ambazo zitawatesa miaka yao yote ya ujana na hata utu uzima?

Pia mwisho niseme tu.

Wakina dada siku hizi wanapata ujauzito mapema mno.

Yani kila binti ukikutana naye ana mtoto.

Mbaya zaidi hawaishi na wazazi wenzao.

We have long way to go.....

Happy African Day. May 25
 
Ndio starehe kubwa ya masikini hiyo,.kila siku anapiga mashine ataacha kuzaa kama nyau...na hakuna cha kufuata nyota ya kijani wala nn..ni dry tuu siku zote...

Ila mm nnavyopenda watoto😊ntazaa asee mpaka leba ikiniona ihame😎
 
Ndio starehe kubwa ya masikini hiyo,.kila siku anapiga mashine ataacha kuzaa kama nyau...na hakuna cha kufuata nyota ya kijani wala nn..ni dry tuu siku zote...

Ila mm nnavyopenda watotontazaa asee mpaka leba ikiniona ihame
Zaa tu shost ila usisumbue ndugu hahahah.Mie nilishakataa kubeba mizigo ya kulea watoto wa ndugu napambana na wangu.Mwingine hata kipato cha uhakika hana ila kuzaa sasa,wanatesa tu watoto.Mtu anakuwa akimlaumu Mungu kwanini alizaliwa.
 
Zaa tu shost ila usisumbue ndugu hahahah.Mie nilishakataa kubeba mizigo ya kulea watoto wa ndugu napambana na wangu.Mwingine hata kipato cha uhakika hana ila kuzaa sasa,wanatesa tu watoto.Mtu anakuwa akimlaumu Mungu kwanini alizaliwa.
Ndioo niko kuwafungulia account jomoniii stakki kumsumbua binadamu...undugu lawama akuu ntapambana na wanangu kufa kupona labda nitwaliwe mapema...
 
Sisi masikini tunaamini watoto ni baraka na kila mtoto huja na baraka zake, hivyo tunafyatua tu maana kujibana bana waweza mbania rais ajae.
 
Waafrika tukumbuke tusipo zaa sana, miaka ijayo asili yetu itapotea

Tutajikuta haya majamaa meupe yako peke yao na watakaobakia watatengenezewa sehemu maalumu kwa ajili ya utalii na historia

Acha tufyate, nasema fyatua
(Bora mjinga alie hai kuliko mwelevu aliefia tumboni mwa mama yake)
Acha tutimize kusudio la mungu kuujaza ulimwengu. Tutaendelea kuporomosha tu watoto wa kutosha kama Rais wetu jiwe alivyotuagiza. Hizo ni janja za mabeberu tu

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom