utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
baba yangu mzuri wewe ni shujaa kabisa nakupenda sana
Ndo mana nakupenda sana mwanangu mzuri.....kama mtu anataka nimfanye kama hili lidudu na ajaribu kukusumbua
baba yangu mzuri wewe ni shujaa kabisa nakupenda sana
Ndo mana nakupenda sana mwanangu mzuri.....kama mtu anataka nimfanye kama hili lidudu na ajaribu kukusumbua
asante baba lakini mimi niwe mchokozi
Hapana baby wangu usiwe mchokozi kabisa....
baba wewe unamangvu nachokoza nakukimbilia
Tumsaidieje huyu mwenzetu jamani kafumwa na lidudu la majini?
Dindika du, avae!
View attachment 178898
Nitaua wengi mwanangu....
Tumsaidieje huyu mwenzetu jamani kafumwa na lidudu la majini?
Dindika du, avae!
View attachment 178898
Dawa yake ndogo, hapo Mshana inabidi achepuke ghafla lidudu litabaki na njia kuu speed!
Kiongozi ....Hahahaaa View attachment 281805