Masikini Mshana jr, Atatokaje hapa?

Masikini Mshana jr, Atatokaje hapa?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Tumsaidieje huyu mwenzetu jamani kafumwa na lidudu la majini?
Dindika du, avae!

AKIMBIZWA KIBOKO2 PROPER.jpg
 
Dawa ndogo kwa huyu mdudu ni kumja.mbi.a tu mwenyewe anaahirisha zoezi husika
 
Hapo Mshana jr kapatikana na kamtibua nini huyo jamaa........angekuwa anafukuzwa na Tembo fasta tungemshtua yule katibu Mkuu wetu.
 
Dawa ndogo kwa huyu mdudu ni kumja.mbi.a tu mwenyewe anaahirisha zoezi husika
Wacha kuchekesha watu wee bysange. Kijambo kitatoka wapi kwenye hizo mbio za woga?
 
Last edited by a moderator:
Hapo Mshana jr kapatikana na kamtibua nini huyo jamaa........angekuwa anafukuzwa na Tembo fasta tungemshtua yule katibu Mkuu wetu.
Si unajua huyo mdudu anaishi kwenye maji fresh? mshana jr, kama jina lilivyo alienda tafuta kitoweo pendwa, lidudu likachukia kwa usumbufu likaanza kumfukuza.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom