Masikini, Mrema!

Magufuli amkumbuke maana alimuombea kura kwenye Jimbo la Vunjo.
 
Huyu mzee anaumwa aisee....

Duc in Altum
 
Mbona yuko sawa aisee hivi unajua watu wa kuonea huruma wewe au umeamua kubwabwaja.
 
duuu nadhani ulikuwa nje ya bunge anategea wabunge kuomba walau wampe sehemu ya posho
 
mh JPM alimuahidi kumpa uongozi wakati wa kampeni kwa sbb ya uchapakazi wake.
 
uzee na uchovu wa kazi za muda mrefu,mawazo.........
 
Mimi huwa natamani nione anapovua hiyo kofia huwa anafananaje.
 
hahahaha apo anapiga simu lumumba ila number not reachable....cc toilet paper
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…