Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Nashani waliruhusiwa jana wote na waliondoka! Walipolala juzi wanajua wenyewe na Sirro wao!!
 
Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Mbona anachelewa?ikibidi mfuate pia!
 
Don't transpose issues. Learn to stick to matters at hand.
 
...majibu yote nimeeleza hapo. Lengo kama limeleta matokeo waendelee na kesi. Na kama hawajapata kielelezo chochote wataendeshaje kesi bila ushahidi???
kwani una wasiwasi gani?subiri jumatatu mkuu
 
Acha udini kwenye mambo ya msingi, gwajima ni wa dini gani? Tafadhali dini haiwezi kuwa kinga dhidi ya jinai
 
Nakushukuru umekubali nilichosema. Na anaye support kila kitu, hata kama akiambiwa kichaa, yuko chama gani?
Bahati znuri hakuna kichaa anayeweza kutoa maelekezo ya kiserikali
 
kwani una wasiwasi gani?subiri jumatatu mkuu
Wasiwasi wangu ni kwamba tunaweza kupoteza muda na kushusha credibility ya wanaosimama kuitetea serikali kwa kuamua kuanza kuleta longolongo mahakamani kama walivyotaka kufanya jana kwa Mh. Tundu Lissu. Yaani unakuta lawyer wa serikali na mwendesha mashitaka wake wanafanya kazi ya ziada kutafuta na kuwasilisha viraka vya ushahidi badala ya ushahidi wenyewe.
 
kwani kesi ya lissu ishaanza kusikilizwa?
 

Kwa jinsi ulivyoandika tu mimi hoi
 
Hujawahi kuwa Na akili!!kwa hiyo ukimuona tu tajiri basi umvamie umpige marungu Na umtupe tu sero ili ajue tofauti yake na serikali? Choo kabisa
 
Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Akihamisha ile klabu ya jangwani akaenda nayo kule itakuwa poa mbona.
 
Acha udini kwenye mambo ya msingi, gwajima ni wa dini gani? Tafadhali dini haiwezi kuwa kinga dhidi ya jinai
Gwajima inajulikana..alimsaidia EL...na akamponda Pengo.
udini upo kila kwenye operation. Kama hakuna udini basi siasa...majambazi wakiiba bank watafatwa waislam msikitini...
askari akiuliwa naajambazi basi watafatwa msikitini...askari staki shari walivamiwa wanakamstwa wenye ndevu. ..wewe uko upande huo hulioni..sisi tunaona trend iko vp
ndo maana majambazi hawamaliziki kwa sababu hawakamatwi
unga nao pia ni hivo hivo.
Jambo la msingi ni kufanya operetion hizi kwa nia safi baada ya kufanya utafiti na kuchunguza mienendo ya watu.
leo unamwita owner wa Yatch club aje...ni ujinga hatikuja ...hukufanya kazi yako sawa sawa...yatch club owner ni trustees wake na wanachama wake.....common
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…