Kwani Manji na wenzake wanazuia kuzalisha matajiri wengine. Nadhani hizi ni rumours tu. Fikiria hawa wafunge biashara zao, watu wangapi watakosa ajira, Serikali itakosa kodi kiasi gani, wananchi watadhurika kiasi gani kwa kukosa bidhaa au huduma,....... .nkWaende tu, tuzalisha matajiri wengine.
hatujawafukuza mkuu.Kwani Manji na wenzake wanazuia kuzalisha matajiri wengine. Nadhani hizi ni rumours tu. Fikiria hawa wafunge biashara zako, watu wangapi watakosa ajira, Serikali itakosa kodi kiasi gani, wananchi watadhurika kiasi gani kwa kukosa bidhaa au huduma,....... .nk
Alidhani anaenda kutaja umli na vyeo ndio maana akaenda siku moja Kabla asipokutwa na hatia Makonda kazi anayo
Huwa najiuliza hilo swali huwa sipati majibu! cha ajabu zaidi anayekasirika ndio anahali ngumuHivi ndugu zangu watanzania nani ametufundisha hili somo la kuwachukia watu waliotuzidi uwezo wa kifedha(kiuchumi) ?
Wote hao unaowataja hawataondoka Tanzania. Bavicah mmekwama safari hiiKenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Acha unafiki wa kidini je yule gwajima wa dini ganiKuna dhulma tu... yeye ni mhindi ni rahisi kuchafuliwa na isiwe kitu. ..hasa kwa sasa muhimili huu unavo wanyanyapaa waislam na wapinzani...
manji ni sadaka au kafara ya uchumi mbovu na kukosa ajira...ila unga utauzwa na matajiri wapya watazaliwa
Lakini ajifunze kuheshimi mamlaka. Asubiri siku chadomo wakibahatisha kupata madaraka, mwaka 3035 ndiyo aendeleze dharau zakeHata akikaa wiki nzima bado haitoondoa ukweli kama sisi wote tunaofurahia hatuwezi kumfikia utajiri wake hata robo!
Usikubali kupelekeshwa kisa uzaifu wakoKenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Wewe ni yupi kati ya hao wawili katika avatar yako?Wengi Waliochangia Post Ya Shabiki Wa Cmba N Wana Cmba
Manji Yupo Kwake,muda U Anakula Tu Kacholi Za Pilipili
tumefuzwa basi wala ni roho zetu za husda tu na roho mbaya watu kuwa maskini wanatamani kila mtu afanane naeHivi ndugu zangu watanzania nani ametufundisha hili somo la kuwachukia watu waliotuzidi uwezo wa kifedha(kiuchumi) ?
Kama Matajiri wanazalishwa kwa vikao vya kahawa thubutuWaende tu, tuzalisha matajiri wengine.
Yupo ndani angetoka mbwembwe zake ungeziona, press kubwaa ... au kaambiwa atoke kimya kimya?Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kwa akili yako kabisa eti manji yupo ndani. Mnachekesha sana
Najua akitoka tu anaitisha press kutujuza ushindi wake, kama kimya basi bado yupo ndani, hana uvumilivu kabisa huyo!Acheni kuwa mabwege nyie. Manji yupo anakula bata. Matanzania ni maraisi kweli kuwa madanganyika
Hawez toka kimya kimya wewe mhindi unamjua au? Labda gari yake ndio imetoka kimyakimya. Wote wawili yeye na Gwaji hawana ustaarabu wa kukaa kimya tutaelewa tu...mipicha tutaiona koteYupo ndani angetoka mbwembwe zake ungeziona, press kubwaa ... au kaambiwa atoke kimya kimya?
Kenya si Tanzania mkuu, nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani. Manji ajifunze kuheshimu dola.alidhani anapambana na makonda yule wa mtandaoni.si vema kubishana na dola na hasa inapokua kwenye operesheni ngumu kama hizi kwa kutegemea ukwasi ulionaoKenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Na yy anaogopa kusema nimeachiwa? Aliingia kwa mbwembwe ila katoka kimya kimya!!Acha kutudangany manji saiz yupo kwake sema police wanaogopa kuweka waz insu kua jamaa ameachiwa saiz anakula bata tu na mke wake
Sio kwa mhindi hata aambiwe vipi hawez kukaa kimyaNa yy anaogopa kusema nimeachiwa? Aliingia kwa mbwembwe ila katoka kimya kimya!!