Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,291
- 900
Mke ana raha yake
Siku ukiumwa na bahati mbaya ukawa umetapika vya kutosha sakafuni labda maliwato yako nje ya chumba chako, halafu ukishasikia nafuu ndio utafute dekio na ndoo ya maji udeki matapishi yako na hapo bado hali yako sio nzuri ...hapo ndo utatambua kwamba ubachela ni raha ama vipiUbachelor raha sana