Masikini Magie wa London!

Sio wewe tu!
Wapo watu kibao ambao wanadhani kwamba wao wanaelewa zaidi kuliko wengine, ndicho hicho alichokumbana nacho Maggie, kwa kutoa ushauri ambao umemrudi vibaya sana! Yeye alimuonya Michuzi kuhusu zile lugha, My Wife Wake", "My husband Wake" nk, kwa kudhani Michuzi haelewi nini alichoandika, kumbe ile ndiyo lugha ya pale kwa Michuzi, ambayo hunogesha lile baraza. Matokeo yake ndio akawavagaa hao akina "ANONYMOUS" waosha vinywa, ambao wametapika kwenye maoni ile mbaya.
Hata mie nilimuonea huruma sana Maggie.

Mimi bado nasisitiza kwamba, "Ni Busara mara Nyingine kukaa Kimya kuliko kujifanya unaelewa, kumbe uko nje ya somo"
 
Back
Top Bottom