ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,139
- 17,612
mmh si rahisi kijana kustick
hapa kuna theory mbili tu mahaba niue au mahaba nibakishe uamuzi anao kijanaYaan akifanya ujinga wa uvumilivu atapotea
Mkuu hapo jamaa amweke kitimoto huyo mchumba wake amuulize kavitoa wapi virus? Hicho ndo kiwe chanzo cha kuachana.... Akijifanya ana huruma atakwisha.
mwanume jamnyanyapaa ila kijana hana hisia ya tendo landoa dada anataka afanye tu na hataki kutumia ARV na hataki kutumia condom kwa iman kuwa ataponywa na Mungu ... mwanaume kachanganyikiwa haelewi
nimeisoma vizuri hii nyuzi
ila mpaka sasa naamini Mungu akiwa upande wako hakuna wa kupangua hilo
ila sasa je atamuachaje huyo mpenzi??
kama anampenda sasa itakuaje???
bado hatujapima nitakupeleka kupima
Ana uhakika gani kwamba akitoka hapo ndio atasalimika milele??
Anaweza kuruka mkojo na kukanyaga mavi pia....there are so many possible scenarios za yeye kuambukizwa virusi as long as he lives....ila atleast akiamua kutulia naye na kufuata masharti anaweza kuepuka maambukizi kwa kiasi kikubwa while maintaining his manly honour....
Hivi akiamua kumuacha...akaukwaa pengine, atarudi kuomba msamaha au? Au akikuta kote alikopima ni false negatives virusi havikuwa active bado?
Ingekuwa ni mimi: ntachunguza kama mwanamke alijua hali yake kabla ya ndoa na alifanya makusudi kunificha ili nimuamini, au kama alikiwa anachepuka baada ya ndoa. Kama ni hivyo huyo hastahili kuwa nami.
Kama she is innocent...hakuwahi kuchepuka na hakuwa anaijua hali yake...maana yake she also took the risk being with me na aliniamini....if and only if that is true, I will keep her till death do us part.
mkuu sijui ila nilimuuliza akanijibu kuwa hawakupima so hajui na mke hataki kufunguka kuhusu hillo swalaAna uhakika gani kwamba akitoka hapo ndio atasalimika milele??
Anaweza kuruka mkojo na kukanyaga mavi pia....there are so many possible scenarios za yeye kuambukizwa virusi as long as he lives....ila atleast akiamua kutulia naye na kufuata masharti anaweza kuepuka maambukizi kwa kiasi kikubwa while maintaining his manly honour....
Hivi akiamua kumuacha...akaukwaa pengine, atarudi kuomba msamaha au? Au akikuta kote alikopima ni false negatives virusi havikuwa active bado?
Ingekuwa ni mimi: ntachunguza kama mwanamke alijua hali yake kabla ya ndoa na alifanya makusudi kunificha ili nimuamini, au kama alikiwa anachepuka baada ya ndoa. Kama ni hivyo huyo hastahili kuwa nami.
Kama she is innocent...hakuwahi kuchepuka na hakuwa anaijua hali yake...maana yake she also took the risk being with me na aliniamini....if and only if that is true, I will keep her till death do us part.
ha ha haha madaktar hawataweza kukubali kupewa nundusio utanipeleka...tutaenda....na ole wako uwe umeniambukizaaaaa...Manundu kuanzia kwa daktari dadeki
wameenda angaza mke akirudi home anaaply maswala ya dini kwenye uhalisiaHapo ni Counselling tu...Aende Angaza na mke wake...Mke atajitambua...atajikubali na hali yake
Ushaur wako ni sawa na mtu aliyepeleka chemba risas na hajafunga usalama halafu anachezea trigger huku mtutu ameuelekeza kifuan....
kiukweli kuna wanume wanamaamuzi magumu ,, nitamshauri akiweza sawa
ha ha ha ha hilo la msingi japokua gumu kwa tulio wengisawa mkuu ila tupime jamani si dhambi
wameenda angaza mke akirudi home anaaply maswala ya dini kwenye uhalisia
Ndoa za kikristo unajua tena wif hataki kusikia wala kuelewa
Kumpenda kama mkewe haiwezekani labda vinginevyo. na kufanya mapenzi na mtu ambaye unajua kabisa ni mwathirika ni ngumu pia kwa kuwa saikolojia pia inahusika ktk kufanya mpenzi. Hiyo itakuwa sawa na kuonja sumu
inabidi liwe jepesi kuliko kuja kuomba ushauri lateha ha ha ha hilo la msingi japokua gumu kwa tulio wengi