Masikini anatamani kila mtu awe masikini

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,564
Reaction score
17,648
Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli.

Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically maskini wengi wanawachukia.


Ila huu ukamataji πŸ™ŒπŸ™Œ
 

Attachments

  • Ni kubaya.mp4
    9.1 MB
ila huu n ukweli, wengi hatupendi mwingine apate

na hata akijaaliwa kupata unatamani apoteze ama apate matatizo ili roho isuuzike tu

hata hao matajiri nao hawapendi tajiri mwenzao apate zaidi, yawezekana kuna matajiri washindani wake walifurahi pia
 
Maskini mda wote wanakuwa na hasira na wivu kwa tajiri.
 
Juzijuzi pia walishangilia wachimbaji madini kunyimwa ruzuku kisa Ile harusi ya katoro.
Nlishangaa sana wanampongeza Samia.

Mungu aniepushie hiyo roho
Ruzuku ya wachimbaji madini kwenye nini hasa ?
Waingize vifaa na mitambo bila kulipa kodi, serikali iwasaidie kununua vifaa, wasilipe kodi ya mapato ?
Hiyo ruzuku ilikuwa iweje hasa?
 
Ndo human nature...
Hata wanyama wanaoneana wivu tu. Siku dume linalotawala Masi ba yoteblikizeeka huwa linachangiwa na masimba mengine yote mpaka life
 
Kama tuu yule marehemu Rais wa wanyonge πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…