Mashoga wanaojiuza kwenye mtandao sasa basi

Mashoga wanaojiuza kwenye mtandao sasa basi

Hamna mtu anayetetea mashoga.. ishu sio kukamata.. sawa utawakamata, je utawafunga kwa sheria gan..??? Hapa swala la msingi ni utoaji wa elimu tu..
Kwahiyo unabisha kuwa hakuna sheria inayokataza vitendo vya ushoga nchini mwetu mkuu?
 
Mi sioni kama ttzo lakin kiongoz kama wazir anacha kudeal na mambo ya muhim anatakiwa kuwaachia viongz wa ngz za chin
 
tupate mrejesho wa wale watatu mana namuona james bado yupo insta kama kawa kaoge yupo na wengine wapo wengii tuu sasa mbna hawa hajawakamata tuone mfano. we hate them .TANZANIA BILA UCHOKO INAWEZEKANA.
 
Kwa watoto wetu,Je umri gani ni sahihi kuanza kuwaelimisha kuhusu haya masuala na ngono kwa ujumla mkuu!? Maana Kama unakumbuka wengi wetu miaka ya nyuma wazazi wetu hawakuwahi kabisa kuongea na sisi kuhusu suala la ngono na ilikuwa mwiko katika jamii.
Mapema inavyowezekana, unaanza kumwewesha kutona na uelewa wake, hata miaka mitatu unaanzia kuwa si sahihi mtu yeyote kuona sehemu zako za siri.
 
Mapema inavyowezekana, unaanza kumwewesha kutona na uelewa wake, hata miaka mitatu unaanzia kuwa si sahihi mtu yeyote kuona sehemu zako za siri.
Hii ni sahihi kwa mimi Baba wa familia kufanya haya maongezi na binti yangu!? Au ni vyema mama ndio awe muwakilishi katika hili suala mkuu?
 
Hii ni sahihi kwa mimi Baba wa familia kufanya haya maongezi na binti yangu!? Au ni vyema mama ndio awe muwakilishi katika hili suala mkuu?
Dunia ya leo mkuu ni muhimu wazazi kuwa karibu na watoto, utandawazi umeharibu sana watoto si jukumu la mama peke yake.
 
Mapema inavyowezekana, unaanza kumwewesha kutona na uelewa wake, hata miaka mitatu unaanzia kuwa si sahihi mtu yeyote kuona sehemu zako za siri.
Hii ni sahihi kwa mimi Baba wa familia kufanya haya maongezi na binti yangu!? Au ni vyema mama ndio awe muwakilishi katika hili suala mkuu
Dunia ya leo mkuu ni muhimu wazazi kuwa karibu na watoto, utandawazi umeharibu sana watoto si jukumu la mama peke yake.
Ni kweli kabisa mkuu. Asante kwa ushauri.
 
Hali sasa imebadilika .. mh kigwangala amehaidi pindi afikapo dar.. atakamata mshogo wote wanaojiuza kwenye mitandao ..
Hapo ndipo serikal inapo nishangaza badala ya kufuagilia vitu vya maana kwa ajili ya maendeleo yetu.. wanafuatilia mashoga.. mashoga wenyewe maskin hawana ela vimechoka mpka unavionea huruma.
Na je kama wakiwakamata watawaweka kwny mahabusu ipii..???
b499647dbe66a5ddb352e8ff0427d7dc.jpg
Hili jambo lina athari kubwa sn ktk ustawi wa jamii unalijua hilo?!
 
lakini si ni makosa? nani akemee? asiwepo yoyote katika jamii yetu wa kukataza hili swala? asipokataza leo akataze lini?

kuna vitu huwezi kuvitetea kirahisi rahisi
Kaka Waberoya wapo wengi humu JF ambao wameshakubali kujitoa akili kwa kubishana au kupinga tu hata kama mantiki ya kupinga kwao ni sifuri.
 
Mi sioni kama ttzo lakin kiongoz kama wazir anacha kudeal na mambo ya muhim anatakiwa kuwaachia viongz wa ngz za chin
Wewe huoni kama ushoga ni tatizo!!!! Upuuzi mtupu utajisikiaje ukiambiwa kijana wako shoga mkuu ambaye wewe ulilala njaa ili yeye apate mahitaji yake ya muhimu aje kukutoa sehemu ulipo!!!
 
Muda wote huo si watafunga hizo account zao kwenye social network?

Kama uko serous kwanini usiwavizie ili uwapate kirahisi na ushahidi wa kutosha?
 
Wewe huoni kama ushoga ni tatizo!!!! Upuuzi mtupu utajisikiaje ukiambiwa kijana wako shoga mkuu ambaye wewe ulilala njaa ili yeye apate mahitaji yake ya muhimu aje kukutoa sehemu ulipo!!!
Wewe vp Mimi nmesema wazir kufatilia ushoga ka ttzo broo soma vizur
 
Kwa hiyo unatakaje, waachwe kisa wamechoka/masikini unataka nani apambane nao, swala la ushoga nchini ni la kwetu, ni la mimi, wewe na yule tulipinge na kupiga vita.
Wauwawe tu!
 
Wewe huoni kama ushoga ni tatizo!!!! Upuuzi mtupu utajisikiaje ukiambiwa kijana wako shoga mkuu ambaye wewe ulilala njaa ili yeye apate mahitaji yake ya muhimu aje kukutoa sehemu ulipo!!!
Well said
 
Kuna kitu kikubwa ambacho kipo ndani ya watu hawa. Hizo ni roho chafu na huwezi kuzishinda kwa jinsi ya kimwili.

Tukumbuke shetani yupo na anafanya kazi kwa namna ya kutisha sana kipindi hiki.

Huwezi kumshinda shetani kwa kutumia bunduki wala kisu.

Kama mkiwakamata na kuwapeleka jela unafikiri huko ndio wataacha ushoga au ndio mnawapelekea fisi mizoga?

Hawa mashoga wanahitaji kuombewa ili pepo chafu liwatoke.

Na nyie viongozi mnahitaji kuombewa ili Mungu awape hekima.
 
kweli ni aibu kubwa na mwenyezmungu atuepushe na janga hilo la ushoga na atunusuru na vizaz vyetu hilo si jambo la kufumbia macho kabisa linakera sana ila kwa upande wa kamata kamata wana magerezan wanapelekewa utahamia magerezani sasa
 
Hali inatisha mkuu. Nafikiri huko magerezani hali ndio inatisha zaidi.
 
Back
Top Bottom