njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,791
Hali sasa imebadilika .. mh kigwangala amehaidi pindi afikapo dar.. atakamata mshogo wote wanaojiuza kwenye mitandao ..
Hapo ndipo serikal inapo nishangaza badala ya kufuagilia vitu vya maana kwa ajili ya maendeleo yetu.. wanafuatilia mashoga.. mashoga wenyewe maskin hawana ela vimechoka mpka unavionea huruma.
Na je kama wakiwakamata watawaweka kwny mahabusu ipii..???