Hali sasa imebadilika .. mh kigwangala amehaidi pindi afikapo dar.. atakamata mshogo wote wanaojiuza kwenye mitandao ..
Hapo ndipo serikal inapo nishangaza badala ya kufuagilia vitu vya maana kwa ajili ya maendeleo yetu.. wanafuatilia mashoga.. mashoga wenyewe maskin hawana ela vimechoka mpka unavionea huruma.
Na je kama wakiwakamata watawaweka kwny mahabusu ipii..???![]()
Hebu mwana jf soma hii.Hii dunia unaweza kushangaa mpaka taya likakwamia hukohuko chini;Eunuchs -- India's Third Gender | ThingsAsian
dah!! mimi sijajua kama najulikana. Wewe ulijuaje? akili zako ni za kishoga kama waziri wako huyo. Kuna mambo ya msingi zaidi katika nchi hii. Eti vita na ushoga,nakubaliana na maadili but sio kutafuta kick za kishoga kama hizo.
Mkuu hao waasia si wenzako kwa mujibu wa avatar yako.Lakini hawa wa asia wana matatizo si kidogo.
Hali sasa imebadilika .. mh kigwangala amehaidi pindi afikapo dar.. atakamata mshogo wote wanaojiuza kwenye mitandao ..
Hapo ndipo serikal inapo nishangaza badala ya kufuagilia vitu vya maana kwa ajili ya maendeleo yetu.. wanafuatilia mashoga.. mashoga wenyewe maskin hawana ela vimechoka mpka unavionea huruma.
Na je kama wakiwakamata watawaweka kwny mahabusu ipii..???![]()
biashara ya kuwapeleka bording watoto kuanzia nursary...ndio mitabia ya ajabu inapowakuta huko...Hili nalo ni tatizo kubwa katika jamii yetu kwa sasa. Juzi kuna jamaa yangu na mke wake wamegundua kijana wao wa kiume mwenye miaka 10 anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Jamaa amechanganyikiwa mpaka sasa. Haya mambo ya "sleep overs" ni hatari sana. Sijui wazazi tunakosea wapi zama hizi!!
Acha waangamie ili wengine wapone...watu wengi huzaliwa hivyo tangu enzi za mababu zetu lakini walijisitiri kwa heshima ya Mwenye Enzi Mungu aliyowaumba. Majanga yaliongezeka baada ya marekani kuruhusu laana hii, maana sasa hata vijana wetu wazima wanatamani kuwa mashoga. Hamna namna wauwawe tu ili wengine wapone. Mola ajidhihirishe kwenye jambo hili!Hali inatisha mkuu. Nafikiri huko magerezani hali ndio inatisha zaidi.
Hali sasa imebadilika .. mh kigwangala amehaidi pindi afikapo dar.. atakamata mshogo wote wanaojiuza kwenye mitandao ..
Hapo ndipo serikal inapo nishangaza badala ya kufuagilia vitu vya maana kwa ajili ya maendeleo yetu.. wanafuatilia mashoga.. mashoga wenyewe maskin hawana ela vimechoka mpka unavionea huruma.
Na je kama wakiwakamata watawaweka kwny mahabusu ipii..???![]()
Mfanywaji na mfanyaji wote ni mashoga.Jamaa atakuwa anajifariji mtt wake ndo mfanyaji sio mfanywaji... Teh teh teh
Na hilo ni tatizo kubwa kwa sasa, na wizara yake ndo inajukumu la kuhakikisha linatoweka kwenye jamii, au unataka mpaka jamii yote iharibike ndo mje mlaumu? Vinginevo utakua una maslahi na ushogadah!! mimi sijajua kama najulikana. Wewe ulijuaje? akili zako ni za kishoga kama waziri wako huyo. Kuna mambo ya msingi zaidi katika nchi hii. Eti vita na ushoga,nakubaliana na maadili but sio kutafuta kick za kishoga kama hizo.
Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii, unasemaje ustawi wa jamii halimuhusu?Kigwa aache sanaa, asimamie mammbo ya msingi kama kuhakikisha hospital zina wataalam na technologia ya kisasa. Mambo ya mashoga awaachie police.
dah, hapa mpiga debe atakosekana kweli? na zile tuhuma za sugu kuwa akapimwe si itakuwa balaa? manake siku hizi ukituhumiwa tu bila hata uhakika unaambiwa ukaripoti, ukisharipoti unaenda kupimwa kama kweli au la, sasa nafikiri waanzie hapohapo dsm kuna watu wanatuhuma kuwa ni mapunga; akamatwe akapimwe tu, si alituhumiwa na Mange?Hali sasa imebadilika .. mh kigwangala amehaidi pindi afikapo dar.. atakamata mshogo wote wanaojiuza kwenye mitandao ..