Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,643
- 21,266
Sijui na wao watapelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na yeye afumue rinda ili kuhakikisha beyond reasonable doubts kwamba watuhumiwa ni certified shogas?
kuna mambo ya msingi zaidi ya hilo la mashoga , la mashoga ni swala mtambuka na linaweza fanywa na taasisi zingine. Ila hospitali zetu hazina technologia na waziri yuko bize kushugulikia mashoga!Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii, unasemaje ustawi wa jamii halimuhusu?
Waambie haodah!! mimi sijajua kama najulikana. Wewe ulijuaje? akili zako ni za kishoga kama waziri wako huyo. Kuna mambo ya msingi zaidi katika nchi hii. Eti vita na ushoga,nakubaliana na maadili but sio kutafuta kick za kishoga kama hizo.
Hiki ni kizazi cha Nyoka!!! Watu wanatetea mambo haya ya kishetani, wakidai ni haki za binadamu... I really support Dr. Kigwangallalakini si ni makosa? nani akemee? asiwepo yoyote katika jamii yetu wa kukataza hili swala? asipokataza leo akataze lini?
kuna vitu huwezi kuvitetea kirahisi rahisi
Hiki ni kizazi cha Nyoka!!! Watu wanatetea mambo haya ya kishetani, wakidai ni haki za binadamu... I really support Dr. Kigwangalla
How mkuu!!Kuongezeka vitendo vya ushoga, ubakaji, ukahaba na maovu ya aina hiyo, katika jamii, ni matokeo ya matumizi ya madawa ya kulevya.
Hata matokeo mabaya shuleni yana uhusuano wa moja kwa moja na matumizi ya unga.
Nguvu zaidi za vita dhidi ya biashara ya madawa ya kulevya ziongezwe, ikiwa ni pamoja na kuwataja hadharani wahusika.
RC Makonda amemtoa nyoka pangoni, jamii tuungane kumtokomeza. Waliobaki huko pangoni watolewe pia.
Kama unamjua mhusika ni vyema ukashiriki kikamlifu kutoa habari zake.How mkuu!!
Ivi ile list ya tatu ilitajwa kwel mbona mi sikuisikiaKama unamjua mhusika ni vyema ukashiriki kikamlifu kutoa habari zake.
Na kama alivyosema Waziri Mkuu, wahusika watajwe hadharani.
Swali lako hilo ni la kizushiIvi ile list ya tatu ilitajwa kwel mbona mi sikuisikia
Braza usiwe kama mburula toa maoni yako .. usikarie kubuni kitu.. kaa na wanao waelimishe kuhusu maswala ya ushoga.. sasa ww unatakje kama tukiwapeleka gerezan .. ushoga utaamia huko.. kama tukiwaua sheria ya nchi haisemi hvyo... usikalie ujinga jenga kizazi chako na toa elimu kuhusu madhara ya ushoga
Ndio utuambie wewe.. kwa maana huwezi kuwauwa na hata ukiwaweka jela.. utakuwa uja solve solution badala yke utakuwa umehamisha ushoga tu.... elimisha wanao wasije kuingia kwny hiko kizaz cha mashoga...Hao ambao wameshakiwa mashoga utawafanyaje? Usiandikie looong paragraphs yenye ujinga mwingi
Nashindwa kukuelewa upo kama unatetea, yeye kama kiongozi ulitaka akae2 kimya? Utaki hata kuona serikali inafanya juhudi juu yahili, au hadi uje uone mtoto wako nae ni nyama ndo utaona jambo hili lilivo haya?Hali sasa imebadilika .. mh kigwangala amehaidi pindi afikapo dar.. atakamata mshogo wote wanaojiuza kwenye mitandao ..
Hapo ndipo serikal inapo nishangaza badala ya kufuagilia vitu vya maana kwa ajili ya maendeleo yetu.. wanafuatilia mashoga.. mashoga wenyewe maskin hawana ela vimechoka mpka unavionea huruma.
Na je kama wakiwakamata watawaweka kwny mahabusu ipii..???![]()
agapito hivi hujawajua member wa JF / TUMEVAMIWAhivi mtu anayetetea ushoga tumweleweje?jiangalieni aisee..mnapinga kila kitu mwishowe mtapinga hadi jinsia zenu.
Na yeye labda ni shoga maaana watu wengine skuhz hata hawaeleweki kila kitu kazi yao ni kupinga tuKatika hali ya kawaida, huwezi hata kutoa neno moja linaloonesha kusapoti ushoga , wewe unaempinga anaekomesha ushoga badala ya kumuunga mkono unashangaza sana, kiukweli huu si utamaduni wa Mwafrika