Mashoga wanaojiuza kwenye mtandao sasa basi

Mashoga wanaojiuza kwenye mtandao sasa basi

Kwa hiyo unatakaje, waachwe kisa wamechoka/masikini unataka nani apambane nao, swala la ushoga nchini ni la kwetu, ni la mimi, wewe na yule tulipinge na kupiga vita.
Hao mashoga wakienda kufungwa huko magereza, wafungwa ndio wanafurahia kwani mashoga tabia yao nikutoa tigolism

Kazi kweli kweli
 
Kwahiyo unabisha kuwa hakuna sheria inayokataza vitendo vya ushoga nchini mwetu mkuu?
Binafs mm cjawah kuickia.. ila kama ukiniambia sheria yke inasemaje na hukumu yke ni ipi.. ntakuelewa
 
Kwa watoto wetu,Je umri gani ni sahihi kuanza kuwaelimisha kuhusu haya masuala na ngono kwa ujumla mkuu!? Maana Kama unakumbuka wengi wetu miaka ya nyuma wazazi wetu hawakuwahi kabisa kuongea na sisi kuhusu suala la ngono na ilikuwa mwiko katika jamii.
Lakin maswala haya zaman yalikuwa hayapa au yalikuwa kwa asilimia ndogo.. ww kama mzazi unayojua madhara haya inabid ukae na wanao uwafunze mambo haya mapema iwezekanvyo.. vijana weng tunafuata peer grup ndio tatzo .. chukua hatua maepema.. fatilia nyendo za mwanao vzr akiwa bording sana sana
 
Huwa najiuliza sana hivi unapotembea na shoga, akili unakuwa umemeza mihadarati au pombe?
 
Braza usiwe kama mburula toa maoni yako .. usikarie kubuni kitu.. kaa na wanao waelimishe kuhusu maswala ya ushoga.. sasa ww unatakje kama tukiwapeleka gerezan .. ushoga utaamia huko.. kama tukiwaua sheria ya nchi haisemi hvyo... usikalie ujinga jenga kizazi chako na toa elimu kuhusu madhara ya ushoga
 
Huwa najiuliza sana hivi unapotembea na shoga, akili unakuwa umemeza mihadarati au pombe?
Ushoga maana yke mtu yoyote anayeingiliwa kinyume na maumbile au anayemuingilia mwenzake kinyume cha maumbile... wote wanahesabika mashoga.... kuwa makin braza chunga sana wanao wape elimu.. usiogope kusema nao... huu ni utawaz
 
Hali sasa imebadilika .. mh kigwangala amehaidi pindi afikapo dar.. atakamata mshogo wote wanaojiuza kwenye mitandao ..
Hapo ndipo serikal inapo nishangaza badala ya kufuagilia vitu vya maana kwa ajili ya maendeleo yetu.. wanafuatilia mashoga.. mashoga wenyewe maskin hawana ela vimechoka mpka unavionea huruma.
Na je kama wakiwakamata watawaweka kwny mahabusu ipii..???
b499647dbe66a5ddb352e8ff0427d7dc.jpg

Kama una amini Mungu na kusoma vitabu vyake tukufu Biblia na Qyran, jiulize kwa nini aligeuza watu mawe Enzi za Sodoma na Gomora? Usenge ni ugonjwa wa akili na wengine wanafanya kuwa fasheni, hongera Kigwangala kukemea ufedheha.
 
Hamna mtu anayetetea mashoga.. ishu sio kukamata.. sawa utawakamata, je utawafunga kwa sheria gan..??? Hapa swala la msingi ni utoaji wa elimu tu..
Nanyie mnapenda kujitetea. Eti utawafunga kwa sheria ipi?.Mbona MUNGU aliwaua kwa moto huko Sodoma?
 
Hamna mtu anayetetea mashoga.. ishu sio kukamata.. sawa utawakamata, je utawafunga kwa sheria gan..??? Hapa swala la msingi ni utoaji wa elimu tu..

akili ndogo, mapenzi ya jinsia moja yamekatazwa kisheria mkuu
 
Binafs mm cjawah kuickia.. ila kama ukiniambia sheria yke inasemaje na hukumu yke ni ipi.. ntakuelewa
Pasingekuwa na sheria elekezi,kigwangara angeanza kwa kupingwa mule mule bungeni.na kama ni utoaji elimu,sheria zimekataza,vitabu na viongozi wa dini zetu wanaimba kila siku,sasa sijui ni elimu gani zaidi inanahitajika!
 
hapo kaelezea hali zao tu, na hajatetea, unadhani jela zetu zitakuwa na uwezo wa kushikalia mahabusu wote hawa? ukichanganya na wamadawa?
Kwa hiyo kama hazina, uwezo ndo mtu akifanya kosa aachwe kisa uwezo wa kushikilia mahabusu hamna? Tutajenga jela zingne ili wanyoke ddaki serikali cio ya sport sport
 
Nanyie mnapenda kujitetea. Eti utawafunga kwa sheria ipi?.Mbona MUNGU aliwaua kwa moto huko Sodoma?
Namshangaa, mbona mungu hakusema tuwape elimu hawa, aliwaangamiza moja kwa moja
 
Hao mashoga wananikera sana! Mheshimiwa ukirudi kamata wote, uje na huku tegeta kibaoni kuna bar iko mkabala na Kibo complex inaitwa KB huwa wanakuja mashoga na wanaongea maneno machafu eti tegeta hakuna mabwana!
Yaani wanakera sana, hata wakiuawa tu ni sawa ili kuokoa kizazi kijacho
Hivyo mashoga wanazaliwa hivyo au wanatengenezwa? Naunga mkono hili zoezi lakini liendeshwe kwa staha, kwa sababu wengi hadi kufikia hapo walishadhalilishwa kijinsia. Wengi walilawitiwa.

Dawati la polisi la jinsia halifanyi kazi kabisa. Watoto wengi wanabakwa na kulawitiwa majumbani, mitaani, mashuleni na nyumba za ibada. Ni mchezo wa funika kombe mwanaharamu apite. Huyu Afande haja create awareness yeyote kwa watoto na wazazi na jamii kwa ujumla. Kwa sababu hao wahalifu hutmia vitisho au kujifanya wao ndio wanampenda sana huyo mtoto hata kuliko mama yake.
 
Hali sasa imebadilika .. mh kigwangala amehaidi pindi afikapo dar.. atakamata mshogo wote wanaojiuza kwenye mitandao ..
Hapo ndipo serikal inapo nishangaza badala ya kufuagilia vitu vya maana kwa ajili ya maendeleo yetu.. wanafuatilia mashoga.. mashoga wenyewe maskin hawana ela vimechoka mpka unavionea huruma.
Na je kama wakiwakamata watawaweka kwny mahabusu ipii..???
b499647dbe66a5ddb352e8ff0427d7dc.jpg

Yaani unataka kuniambia kwa kuwa tuna matatizo ya maendeleo basi mambo mengine yasubiri mpaka tupate hayo maendeleo halafu ndio turudi kushughulikia matatizo ya kijamii?
Basi tufute wizara zote zinazohusika na maendeleo ya jamii na huduma zibaki zile za maendeleo ya kiuchumi.
Kuna faida gani ya kuwa na maendeleo wakati jamii yote in wahanga wa ukimwi, madawa ya kulevya n.k.
Tangaza Maslahi basi kama wewe ni muathirika wa Operation ya mweshimiwa.....
Shame on you.
 
Back
Top Bottom