Renegade
Platinum Member
- Mar 18, 2009
- 7,849
- 8,349
Hawa watu wanahitaji Huruma zaidi kuliko fedhea, maana maisha yao tu ni fedhea tupu, Embu fikiria mwanaume mzima anajifanya/anafanywa mwanamke kwa mwanaume mwenzie!! Very sad!!, Kama Mzazi au wazazi mnapokuwa na mtoto wa aina hii maisha yenu yanaingia dosari kubwa sana, Wengine humu wanahukumu kabla ya kujua kama watoto walio nao wako salama au la! Jambo hili linahitaji sana ushirikiano kati ya Jamii, Serikali kama serikali lazima ikomeshe tabia ya wanaume kujiuza, mitandao yote ya mashoga ipigwe marafiki, lakini wale mashoga wanaofahamika wapewe ushauri nasaha.