Mashoga wa Uswizi Wapatwa na BALAA KUBWA!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Aibu Kubwa Baada ya Moto Kuzuka Kwenye Danguro
4254134.jpg

Memeth J akificha sura yake baada ya moto kwenye danguro alilokuwemo Sunday, March 21, 2010 7:06 PM
Moto uliozuka kwenye danguro la mashoga nchini Uswizi ulisababisha wateja wa danguro hilo wakimbie uchi kunusuru maisha yao. Mmoja wa wateja wa danguro hilo aliyetajwa na gazeti la Blick la Uswizi kuwa jina lake ni Memeth J, alilazimika kuning'inia kwenye dirisha akiwa uchi huku akificha sura yake wakati akisubiri zimamoto waje kumuokoa.

Tukio hilo lilitokea kwenye danguro moja mjini Basel nchini Uswizi ambapo mashoga hujiuza.

Memeth ambaye anakataa kuwa yeye pia alikuwa mteja wa danguro, alijitetea kuwa alienda kwenye danguro hilo kumtembelea rafiki yake wa miaka 10, Tamilo H ambaye ni shoga anayefanya kazi kwenye danguro hilo.

Memeth aliliambia gazeti la Blick kuwa alikuwa akijirusha na shoga huyo kwenye danguro hilo kabla ya kupitiwa na usingizi na kuzinduka danguro hilo likiwa limeshika moto.

Memeth alilazimika kukimbilia kwenye korido ya danguro hilo huko akiwa uchi lakini huko alikutana na kundi la waandishi wa habari na wapiga picha wakiwa pamoja na zimamoto.

Hali hiyo ilimfanya Memeth akimbilie kwenye dirisha na kuacha makalio yake nje huku akificha sura yake kwa kutumia pazia. Alikubali kuondoka kwenye dirisha hilo baada ya zimamoto kumhakikishia kuwa wataendelea kuificha sura yake.

"Nafikiri ndugu zangu hawatanitambua kwa kuangalia makalio yangu", alisema Memeth akiliambia gazeti hilo.

"Familia yangu haijui kuhusiana na tabia yangu hii ndio maana nimelazimika kuificha sura yangu", alisema Memeth ambaye alisema ana umri wa miaka 33.
 
Haaa! Huyu jamaa memeth anachekesha! anafikiri watu hawatamtambua kwa kuangalia makalio? Huyu hawajui wanawake walivyowachunguzi. Wanajua hata chunusi ngapi unazo mwilini, hata alama za makovu. Mke lazima anajua vizuri makalio ya mumewe. Kumbe kuficha uso siyo suluhisho hata kidogo.

Ila nao mashoga waache hiyo tabia. Inamuudhi Baba wa mbinguni.
 
bwabwa declare your status tafadhali. na wewe ni mmoja wao? au just interested?
 
Swafi sana.

Hiyo ni trailer tu ya yatakayotukia kwa mabwabwa na mabahasha zao on the day of reckoning, where there will be fear and trembling.
 
Moto huo ulistahili uwalipukie makalioni mwao. Hilo ni dogo, bado makubwa....!
 
naona huo moto mungu alikuwa anawatumia mesege kuwaonjesha jinsi atakavyowachoma sbb ya ufedhuli wao.kama anachofanya anakiona ni sawa kwanini afiche sura!
 
Back
Top Bottom