Mashoga Uganda Kuhukumiwa Adhabu ya Kifo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashoga Uganda Kuhukumiwa Adhabu ya Kifo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 10, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,315
  Likes Received: 5,643
  Trophy Points: 280
  Mashoga Uganda Kuhukumiwa Adhabu ya Kifo


  David Cato, shoga aliyegeuka kuwa mtetezi wa haki za mashoga Thursday, December 10, 2009 3:54 AM
  Wakati Marekani baadhi ya majimbo yanaruhusu ndoa za jinsia moja, Mashoga watakaokamatwa nchini Uganda watahukumiwa adhabu ya kifo na familia zao zitatupwa jela miaka saba iwapo zitashindwa kuwafichua hadharani huku wenye nyumba watakaowapingasha nyumba zao mashoga nao huenda wakanyea kwenye makopo ya jela.
  Hayo yamo katika muswada mpya wa sheria ya kupambana na ushoga nchini Uganda ambao uko njiani kupitishwa kuwa sheria.

  Muswada huo umezua mtafaruku katika jamii ya mashoga duniani na leo alhamisi maandamano ya mashoga wa Uingereza yanafanyika jijini London kuupinga muswada huo.

  Mwezi uliopita mashoga wa Marekani waliandamana kuupinga muswada huo ambao Uganda imesisitiza itaupitisha pamoja na shinikizo kubwa toka mataifa wafadhili.

  Watetezi wa haki za mashoga na wasagaji wamedai kuwa muswada huo utarudisha nyuma juhudi za kupambana kuzuia kuenea kwa ukimwi.

  David Cato, shoga ambaye aligeuka kuwa mtetezi wa mashoga baada ya kupewa kipigo mara nne, kutiwa mbaroni mara mbili na kufukuzwa kazi kwasababu ya ushoga wake, alisema: "Wakati tulipojitokeza kudai haki zetu ndio wameamua kutunga sheria dhidi yetu".

  Cato pamoja na wanaharakati wenzake wa kutetea haki za mashoga na wasagaji wanahofia muswada huo utapitishwa kuwa sheria.

  Hivi karibuni wahubiri wa kikristo wa Marekani walitembelea Uganda wakijaribu kuwahubiria mashoga na wasagaji waache tabia zao.

  Hata hivyo baadhi ya raia wa Uganda wanauunga mkono muswada huo ili kukomesha tabia ya ushoga na usagaji ambayo imekuwa ikukua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni.

  "Vijana wa sekondari wanaiga kila kitu toka nchi za kimagharibi na Marekani", alisema mwalimu wa sekondari David Kisambira ambaye anaunga mkono muswada huo.

  "Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamegeuka kuwa mashoga na wasagaji, tunasikia kuwa kuna vikundi vya watu vinavyopewa pesa na taasisi za mashoga katika nchi zilizoendelea, zinaajiri vijana na kuwaingiza katika shughuli za kishoga", alisema mwalimu huyo.

  Kisambira kama walivyo viongozi wengi wa Uganda wanataka sheria kali zitungwe ili kutokomeza suala hilo.
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Saafi sana Uganda. Tena kama ingelikuwa ipo katika uwezo wetu binadamu, baada ya kumyonga kwa kuutenganisha mwili na nafsi ingefuatwa pia hiyo nafsi huko iendako ikauawe tena. HILI LIFANYIKE KWA WATAKATAA KUTUBIA HUO UKINYUME NA MAUMBILE HATA BAADA YA KUTHIBITIKA. Jamani huu ni ushauri tuu!!
   
 3. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  akoding tu sayansi,hii mishoga ndo inayosababisha tusipate mvua.
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ugandan Gays and Lesbian protest in The UK

  [​IMG]
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  MMh. Hongera Uganda. Vipi Tanzania mtaipitisha lini sheria hiyo.
   
 6. D

  Darwin JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hahaa, labda vijana wakiganda lakini siamini kwamba vijana wakitanzania wataiga mtindo wakupuliziwa kwenye visogoni.

  vijana wakitanzania hata wapewe Tsh ngapi.

  Hivi unaweza kubadilishwa kuwa shoga kwa kupewa pesa?
   
 7. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu naona Uzalendo unao!! Yaani hutaki kuamini kua Tz Mashoga wapo na Wanaongezeka?
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  bongo mtu hapulizwi kisogoni kipuzi watapulizana wenyewe huko mombasa na ugandas
   
 9. D

  Dotori JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 547
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ....Adhabu hiyo ingepewa wafujaji na wezi wa mali ya umma ingefaa zaidi...
   
 10. K

  Kabogo Member

  #10
  Dec 11, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu sayansi ya wapi hiyo!!!!!!!!!........................
  Mwanamume kubanduliwa nyuma jamanii hii ni laana
   
 11. D

  Darwin JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sibishi kwamba TZ wako wanaopulizana visogoni ila yakusema watoto wa sekondari wanaiga ndio inayonifanya nishangae, eti wanapewa pesa kutoka magharibi.

  Hivi kweli wanafunzi wa sekondari kama wale walioitingisha TZ jijini Dar nimesahau shule yao miaka ile kwa fujo watakubali wapewe pesa halafu wawe mashoga?

  Mpaka leo siamini kwamba mtu anaweza kurubuniwa akawa shoga.
  Labda alizaliwa na hako kaasili kakupulizwa ndio atakubali kiurahisi.
   
 12. M

  Magezi JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mimi naunga mkono sheria hiyo na hongera kwa bunge la uganda. kwa tanzania sasa hivi tunahitaji sheria ya namna hiyo kwa mafisadi kwanza.
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  Dec 13, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,881
  Trophy Points: 280
  Safi sana
   
 14. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu Dotori unamaanisha Uganda wanatakiwa kuitisha uchaguzi? Maana itaanza na M7
   
 15. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Aha!!!! yaani mnafurahi kuongelea suala la kipuuzi namna hilo tena mnalipa majina kupuliziwa au kubanduliwa NO semeni haya mashoga yakikamatwa kunyongwa ndo adhabu pekeee ambayo itapambana na ongezeko la UKIMWI kwani hii Jamii Inakera sana katika Jamii jamani tushirikiane kuwaumbua mashoga wooote walioko huko mnakoishi na tuiombe Serikali ya Tanzania pia Ipitishe sheria hiyo iwe pia ya East Africa kwani Hawa jamaa wanakera sana.
   
 16. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Binafsi naona huo mswaada ni upuuzi mtupu. Sheria huwa zinawekwa kuzuia uhalifu. 'Homosexuality' siyo uhalifu ni 'sexual orientation' kama ilivyo 'heterosexuality'. Huwezi kuweka sheria kwa vile mtu ni 'heterosexual' or homosexual' ('gay' au 'lesbian'). Unaweka sheria kuzuia uhalifu unaofanywa na watu - 'heteroxexuals' or 'homosexuals'.
   
 17. D

  Darwin JF-Expert Member

  #17
  Dec 13, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Post yako haiji kichwani.

  Nawapinga sana hao mashoga lakini kusema ndio wanaosababisha ongezeko la UKIMWI nakupinga.

  Afrika ndio inayoongoza kwa watu wengi wenye virus ina maana Afrika ina mashoga wengi kushinda sehemu yoyote duniani?

  Mbona nchi za ulaya ambazo zinawaruhusu hao mashoga idadi ya walioathirika ni chache?

  Ukisema ndio wanaosababisha unaipa afrika title yakuongoza kuwa na mashoga wengi kwani kuna watu wengi walioathirika.
   
 18. D

  Darwin JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  By Kirsty Buchanan

  A GAY rights row overshadowed the Commonwealth summit last night after Uganda faced isolation over its plans to punish homosexuals with life imprisonment or hanging.


  Gordon Brown waded into the controversy yesterday as he "raised concerns" with Ugandan President Yoweri Kaguta Museveni.
  Horrified human rights groups and gay activists have called for Uganda to be expelled from the Commonwealth if the draconian measures become law.
  The Prime Minister spoke out during a meeting at the Commonwealth Heads of Government conference in Trinidad and Tobago.
  The row follows a Private Members Bill drawn up by Ugandan MP Bahati David which calls for death sentences or life imprisonment for people convicted of gay sex.
  His law would lead to life sentences for "repeat offenders" and a death penalty for those convicted who are HIV positive, under a charge of "aggravated homosexuality".
  The clash was set to lead to an awkward moment, as Mr Brown was thought to be seated next to President Museveni at an official banquet last night.
  It also threatens to split liberal nations from many African and Caribbean countries in the Commonwealth which already criminalise homosexuality.
  In total, 40 of the 53 Commonwealth countries still have anti-gay laws.
  Canada has already openly criticised the controversial move which is supported by some of Uganda's top leaders, while France and the US have expressed "deep concern".
  Dimitri Soudras, spokesman for Canadian Prime Minister Stephen Harper, said last week: "If adopted a Bill further criminalising homosexuality would constitute a significant step backwards for the protection of human rights in Uganda." He added: "We urge states to take all necessary measures to ensure that sexual orientation and gender identity may under no circumstances be the basis for criminal penalties, in particular executions, arrests, or detention."

  One clause in the Bill would imprison anyone for three years who knows of the existence of a gay or lesbian but fails to inform the police within 24 hours. Gay rights activists and human rights groups, including Amnesty International and Human Rights Watch, have called on Uganda to be kicked out of the Commonwealth if the law is passed.
  Stephen Lewis, a former United Nations envoy in Africa, said in a speech in Trinidad on Tuesday. "This intended anti-homosexual statute has the taste of fascism.
  "The credibility of the Commonwealth is hanging by a spider's thread." The Bill, introduced last month, has not been formally endorsed by Mr Museveni but has won the praise of some of his top officials.
  Experts are predicting it could reach the statute books with only minor alterations.
  Mr Lewis added: "What is truly staggering about all of this is that not a peep of scepticism or incredulity has come from President Museveni."
   
 19. M

  Mchili JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ushoga ni suala la maadili na tabia kuliko matendo. Zoezi la kuondoa ushoga linaweza kufanikiwa kama jamii itaweka program ya kuelimisha vijana au kampain ya kuwafanya waelewe na kuamini kuwa ushoga ni kitu kisichokubalika kwenye jamii. TZ tayari mashoga ni wengi sana, wapo wanaojulikana na wengine wanafanya kwa siri.

  Kutunga sheria ya kuwafunga maisha ni kuhamisha tatizo toka uraiani kupeleka magereza kwani huko ndio wataeneza ushoga kwa wafungwa wenzao, maafande n.k.

  Taasisi za dini na wazazi wadirect mawazo ya watoto kwenye njia za kiadilifu wasikubali uashoga.
   
 20. i

  ishuguy Member

  #20
  Dec 15, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  huku ni kwenda kinyume cha mapenzi ya Mungu , hapo ndipo tunapokosa neema ya Mungu na tunapoadhibiwa na Mungu hapa hapa duniani, mfano njaa kali kutokana na ukosefu wa mvua.
   
Loading...