Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,904
- 11,400
kwa kifupi hamna kitabu cha dini yoyote na wala utamaduni wa Africa wowote unao ruhusu ushoga.hawa wa TZ wanaojifanya wanautetea me nawashangaa, afu UKIWAULIZA JE MWANAO AKIWA SHOGA UTAPENDA? yanabaki kimya na nafsi zinawasuta.
Sina tatizo na mtoto wangu kuwa shoga. Mapenzi yangu kwake hayana masharti. Wewe unaogopa utapatwa nini kama mtoto wako akiwa shoga? Au wasiwasi wako ni kuwa watu watadhani hizo genes amezirithi kutoka kwako? Kama hakai kwako utamfanya nini? Ufinyu wako wa kufikiri unaonekana unapodhani kuwa wewe umepewa mamlaka juu ya mwanao na kuwa ati ukimkana ndiyo utamuadhibu. Maisha yake ni yake na yako ni yako.
Mbona unaona fahari kujiita Semenya? Una maana wewe ni transgender? Ukiwa transgender utaolewa au utaoa nani? Ukioa mwanaume si utakuwa shoga maana maumbile ya kiume unayo na ukioa mwanamke si utakuwa msagaji maana maumbile ya kike unayo. Na hicho kitabu unachojifanya kukijua kina sema nini kuhusu watu kama wewe?
Amandla........