Mashoga sasa kufunga ndoa kanisani Sweden

Mashoga sasa kufunga ndoa kanisani Sweden

Status
Not open for further replies.
Nabishana na marofa tuu humu,ila Historically haki haipewi bure kwa yeyote,hawa ni party of our society na wapo kila kona hii dunia...kama slavery ilienda for hundrelds of yrs na watu walikufa kwa ajiri ya kuipinga,sitaona ajabu hawa mashoga nao one day watashinda vita yao,na mnao tumia dini kumbukeni hata kwenye hizo books zenu slavery ilikuwa legit ingawaje kwa sasa its unheard mtu kusuggest ule ushenzi

...wewe acha urofa,kutetea mashoga sio lazima uwe shoga,hivi nyie watu mnaishi wapi maana mnaonekana bado mnaishi kwenye ujima, hata Obama anawatetea sana na ameanza reverse ya sheria zinazowakandamiza


@koba: why are u not proud of who you are...i know you..
 
Duuuuuu sasa hi Balaa, Kila upande mambo ni mabaya!!!
 
Lakini nadhani pengine mwisho umekaribia kama utabiri wa biblia ,sina uhakika na imani zingine mwisho unakua vipi,walio deep kwenye bible watupe mistari tuconclude
 
😕Kanisa halibaguwi bana linakwenda na wakati tusubiri yaliyobakia kama watafuta suti nao 😕)hakuna haja ya kushangaa sana tumesikia yaliyokuwa yakifanywa na baadhi ya wachungaji katika baadhi ya makanisa hasa huko ulaya na marekani dhidi ya watoto wanaume
 
waliwahi kugharikishwa zamani hizooo....kwa mujibu wa maandiko matakatifu...dawa yao ni kuwafuta kwenye uso wa dunia..this is nonsense!
 
....lack of education and understanding ndio maana mnaongea hizo pumba zenu!
 
...kutetea mashoga doesnt mean mimi ni shoga ni urofa tuu unakusumbua wewe,hata interracial relationship zilikuwa illegal under the law (in US) na watu walienda jela kwa hizo discriminatory law na basis ya hiyo law eti it was "UNNATURAL",mashoga wapo walikuwepo na wataendelea kuwepo sasa kwanini kuwabagua kwa sababu ya imani ambazo hazina proof yeyote,generation ya watu kama wewe mngetangulia mtu mweusi bado angekuwa anakaa behind the bus

Ushoga ni tofauti na ubaguzi wa rangi mkuu. Mimi nadhani hili la ushoga ni kama upepo wa maangamizi ambao unatuangamiza taratibu. Koba angalia usiwe mno emotional kuhusu hili. Kwani hao wanaodai hizo haki wanakitumia kigezo hicho ili kuhalalisha ushoga wakati ni vitu viwili tofauti. Sasa hivi hawa jamaa wako kwenye "Rennaissance" yaani wanaharibu. Halafu baadae watakuja na kitu ingine tofauti kabisa. Kupinga ushoga. Unakumbuka ndio hao hao wazungu waliohalalisha utumwa tena kwa kutumia vitabu vya dini? Halafu tena wakaja wakaupinga kwa kutumia vitabu hivyo hivyo?

Sasa hivi kinachofanyika ni kujaribu kudistort historia, kufix mind set ya watu, ku lobby kupitia mashirika mbalimbali ya kimataifa. Kwa sababu wahanga na wafanyaji wa mambo hayo ni watu wenye uwezo. Ukienda Bangkok Thailand utachanganyikiwa vitendo wanavyofanyiwa watoto wadogo na hawa wazungu wanaokwenda huko kama watalii. Ni namna gani wanaweza kujiepusha na kuwa black mailed? Na wao wanashabikia na kuunga mkono ushoga.

Tupinge unyanyasaji wa kijinsia pamoja na ushoga.

MASHOGA, WASAGAJI NA WATU WANAOUNGA MKONO MASHOGA PAMOJA NA WANAOFANYA WALAANIWE, WAUAWE. HAWANA TOFAUTI NA WAUAJI WA MA ALBINO. KUUA MAADILI YA MTU NI KUMUUA MTU MWENYEWE.
 
....lack of education and understanding ndio maana mnaongea hizo pumba zenu!
acha bana huu ni upuuzi tuu,haya majamaa hayana ishu kabisa,yani we kama unatetea lazima kuna kitu au unaliwa au unalo moja unapoozea,mtu mzima na akili zako,huwezi tetea huu ujinga hata kidogo.
 
MASHOGA, WASAGAJI NA WATU WANAOUNGA MKONO MASHOGA PAMOJA NA WANAOFANYA WALAANIWE, WAUAWE. HAWANA TOFAUTI NA WAUAJI WA MA ALBINO. KUUA MAADILI YA MTU NI KUMUUA MTU MWENYEWE.

..duh sasa wewe naona ndio unataka wauwawe kabisa,ndio maana jana Obama ame sign hate crime law kuhusu hawa gays na hii ni kuwalinda kutoka watu wenye mawazo kama yako,maelezo yote uliyotoa kuhusu slavery ni kama una jaribu kutwist History inabidi urudi class 101 uelewe zaidi!
 
Bill making violence against gays a hate crime headed to White House

The Senate approves the measure, 68 to 29, and Obama is expected to sign it. The legislation, previously passed by the House, is named for Matthew Shepard and James Byrd Jr.

By James Oliphant
October 23, 2009
Reporting from Washington
p-e4m3Yko6bFYVc.gif
B3931665.4;abr=!ie4;abr=!ie5;sz=300x250;ord=8751313825

A bill to make violence against gays and lesbians a federal hate crime cleared the Senate on Thursday and headed to the White House.

The 68-29 vote was a victory for civil rights groups that have long sought to expand the federal statute beyond attacks motivated by religion, race, color or national origin.

The bill, which President Obama is expected to sign, includes penalties for assaults based on a victim's sexual orientation, gender, disability or gender identity.

Atty. Gen. Eric H. Holder Jr., whose Justice Department would be charged with enforcing the provisions, praised the bill's passage.

"There have been nearly 80,000 hate-crime incidents reported to the FBI since I first testified before Congress in support of a hate-crimes bill 11 years ago," Holder said.

Recent incidents -- such as the June shooting death of an African American security guard at the U.S. Holocaust Memorial Museum by a white supremacist -- "demonstrate that there are still those for whom prejudice can translate into violence," he said.

The legislation also would give federal authorities more power to help state and local law enforcement officials investigate hate crimes and would expand the federal government's ability to intervene. About 45 states have hate-crime statutes.

The bill, which was attached to a $680-billion measure outlining the Pentagon's budget, was passed by the House on Oct. 8.

Some of the 28 Republicans who opposed it said they didn't like being forced to vote on the issue as part of a defense bill.

"It's a shame that this piece of legislation was added to a bill that's supposed to be about supporting our troops," said Sen. Lamar Alexander (R-Tenn.).

The defense bill includes $130 billion for operations in Iraq and Afghanistan and authorizes a 3.4% pay raise for the military.

The bill would also make it a federal crime to attack members of the military because of their service.

The hate-crime measure is named for Matthew Shepard, a gay student at the University of Wyoming who was beaten to death in 1998, and for James Byrd Jr., an African American in Texas who was chained to a pickup and dragged to death the same year.

"It has been more than 10 years since the senseless and brutal death of Matthew Shepard," said Sen. Barbara Boxer (D-Calif.), "and I look forward to watching President Obama sign this much-needed legislation into law."
 
....im not gay and theres nothing wrong with being gay,they deserve the same rights as the rest of us!

kwa mtu anayejua kunyambulisha mambo, Wewe KOBA 100% ni PUNGA.Lol

Just one question: Hivi anayemwingilia mwanaume mwenzake hivi naye si ni shoga pia? Hii dunia naona inaenda ndiko siko. Hawa wazungu wanatuchanganya sana.

Mbona huko vijijini haya mabo hayapo. Hakuna anayezaliwa shoga koba, utofautishe na mtu kuzaliwa mweusi. Sijawahi sikia kwenye tarafa yangu kwamba kuna mtu kazaliwa shoga. Hakuna.
 
...i think debating mashoga hapa JF is a waste of time ni kama mtu mweusi kwenda kuoa Southern states ,amini mnachoamini ila the good thing wanaoweka sheria sio nyie ni watu kama kina Obama ambao wako in favor na wanaelewa umuhimu wa kuweka sheria za kulinda watu wote katika society!
 
Koba, usishabikie mambo ya punga. Hiyo ni laana nani ushetani.

Hebu jiulize wewe, ukikuta mtoto wako analiwa punga ama ndugu yako utajisikiaje.

Usipende kushabikia mambo ya kipumbavu na yasiyofaa kwenye jamii. Mimi nasema shetani kakutawala. Tukusamehe tu na tukuombee kwa mungu ili aweze kubadilisha fikira zako potofu.


Nyie tukaneni na mniite punga mnavyotaka ila mimi sio punga na sioni tatizo lolote kwanini wanyimwe haki wanazostahili,ningekuwa na uwezo ningewapa haki zao zote na kuwapa protection under the from haters kama nyie!
 
...i think debating mashoga hapa JF is a waste of time ni kama mtu mweusi kwenda kuoa Southern states ,amini mnachoamini ila the good thing wanaoweka sheria sio nyie ni watu kama kina Obama ambao wako in favor na wanaelewa umuhimu wa kuweka sheria za kulinda watu wote katika society!
Wewe Obama ndio "reference yako" kwa kuwa yeye amesign ndio yuko right..umeishiwa kwelikweli..hembu tuondolea ushoga wako...hiloooooooooooooooo!
 
..mimi nikiona hawa watu natimua mbio kabisa.

..sipendi na siungi mkono mashoga.

..pamoja na hayo siungi mkono kuwafanyia fujo hawa watu.

..kama mtu unaona huwezi kutimua mbio unapokutana na mashoga, bora uhame hizo nchi ambazo wanapewa haki kama sisi wengine.

..hamieni Somalia,Saudia,Iran,..na nchi nyingine ambazo zinapinga ushoga waziwazi.


NB:

..Ahmedinajad alidai hakuna mashoga Iran.
 
Chritianity is finished shame on you alowing homos to wed!!!!!!!Jesuus would have never approved this and also it is a shame that the jews have diluted christianity and this is what we have!
 
waliwahi kugharikishwa zamani hizooo....kwa mujibu wa maandiko matakatifu...dawa yao ni kuwafuta kwenye uso wa dunia..this is nonsense!

Yes it is nonsense, Yes it is disgusting lakini sio kazi yetu kuwafuta kwenye uso wa dunia. There is ni justification in killing them.

Mungu aliewaumba ndie atakaeamua kama ni kuwafuta au la.

Shetani mwenyewe hajafutwa katika uso wa dunia sembuse hawa binadamu walioumbwa kwa mfano wa Mungu
.

Ila nategemea Kanisa la Lutheran hapa Tanzania kutoa tamko kuhusiana na hili na ku clarify msimamo wao, na ikiwezekana kuvunja uhusiano na hilo kanisa la Sweden.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom