Mashoga sasa kufunga ndoa kanisani Sweden

Mashoga sasa kufunga ndoa kanisani Sweden

Status
Not open for further replies.
na Mwandishi Wetu, STOCKHOLM, Sweden

KANISA la Kiinjili la Kilutheri lenye waumini wengi zaidi nchini hapa, limekubali kubariki ndoa za watu wa jinsia moja.

Sweden, imekuwa ni nchi ya kwanza duniani kuruhusu mashoga kuoana ndani ya kanisa hilo kubwa duniani.

Hatua ya kanisa hilo imekuja ikiwa ni miezi mitano tu baada ya serikali ya hapa kulifanya suala la watu wa jinsia moja kuoana kuwa la kisheria.

Karibu asilimia 70 ya wakuu 250 wa kanisa hilo, walipiga kura kuunga mkono kuruhusu watu wa jinsia moja kuoana ndani ya Kanisa la Kilutheri.

Taarifa ya kanisa hilo ilieleza kuwa, hatua hiyo itaanza kutekelezwa kuanzia Novemba 1.

Kanisa la Lutheran limejiunga na imani nyingine chache duniani zinazokubaliana na ndoa za jinsia moja.

Nchini hapa, kati ya watu wanne, watatu kati yao ni waamini wa dhehebu la Kilutheri. Kwa maana hiyo, robo tatu ya raia wa nchini hapa ni waumini wa dhehebu hilo, japo idadi ya wanaohudhuria ibada imepungua sana.

Kanisa la Kilutheri nchini hapa, ambalo lilikuwa likiongoza nchi hadi mwaka 2000, linaungana na Bunge ambalo lilipitisha sheria ya kuruhusu watu wa jinsia moja kuoana, ambako utekelezaji wa sheria hiyo ulianza rasmi Mei 1, mwaka huu.

Hata hivyo, baada ya Bunge kupitisha sheria hiyo, maamuzi ya wakuu wa kanisa hilo kuruhusu ndoa za jinsia moja yalichukua muda.

Sweden pia imefungua milango yake ya kuruhusu wanandoa wa jinsia moja kupata haki ya kuasili watoto.

Makanisa madogo nchini hapa ya Orthodox na Roman Catholic yalieleza kusikitishwa na maamuzi hayo ya Kanisa la Kilutheri.

Katika taarifa yao ya pamoja, kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini hapa, Fredrik Emanuelson na ofisa mwandamizi wa Kanisa la Orthodox, Misha Jaksic walisema: "Kwa masikitiko tumejifunza uamuzi wa viongozi wa kanisa la Sweden.

"Katika makanisa yetu na waamini, hatutaruhusu ndoa za jinsia moja, kwamba mtazamo huo unapigana na tamaduni na malengo ya uanzishaji makanisa."

Wakati Kanisa la Kilutheri likifikia hatua hiyo, Kanisa la Anglikana lipo katika hatari ya kusambaratika baada ya kutokea mgawanyiko mkubwa kutokana na baadhi ya nchi waamini wa kanisa hilo kuruhusu usimikaji wa wachungaji mashoga.

Ingawa kulikuwa na ripoti kuwa viongozi wa juu wa Kanisa la Anglikana nchini Marekani walikubaliana kusimamisha usimikaji wa wachungaji mashoga ili kuzuia mgawanyiko katika kanisa hilo, hivi sasa kanisa hilo lipo katika ubishani mkali usiokwisha, huku baadhi wakipinga kuruhusu ndoa za jinsia moja ndani ya kanisa na hivyo kusababisha mgawanyiko mkubwa.

Makanisa mengi ya Anglikana katika nchi za Afrika yalitishia kujiondoa katika ushirika huo wa dunia nzima baada ya kusimikwa askafu shoga zaidi ya miaka mitano iliyopita.

Kwa upande wake, Kanisa Katoliki ambalo haliruhusu hata makasisi wake kuoa, linapinga vikali ndoa za jinsia moja.

Kiongozi wa kanisa hilo duniani, Papa Benedict XVI amekuwa akilaani ndoa za watu wa jinsia moja.

Papa amekuwa akishambulia vikali kile alichokiita "uhuru wa vurugu" wa mtindo wa kisasa wa watu wa jinsia moja kufunga ndoa.
Source: Tanzania Daima
 
Sahihisha mada yako , iwe wazungu wanaruhusu ndoa za mashoga.
Walutheri wa Afrika si wazungu
 
He yaani hatari, kufuru mpaka kwenye maeneo yanayoitwa ya ibada, hawa watu wanamjuwa mungu kweli?
 
Chritianity is finished shame on you alowing homos to wed!!!!!!!Jesuus would have never approved this and also it is a shame that the jews have diluted christianity and this is what we have!
aaah shabani mzungu eeh,tuambiane ukweli we nae si mama kabisa?au sie nnaekujua mimi!kama niwewe ulikua na kibito cha kijani wala usituzuge hapa,wale madreva taksi wote wanajua ndogoyako iko vipi
 
Nabishana na marofa tuu humu,ila Historically haki haipewi bure kwa yeyote,hawa ni party of our society na wapo kila kona hii dunia...kama slavery ilienda for hundrelds of yrs na watu walikufa kwa ajiri ya kuipinga,sitaona ajabu hawa mashoga nao one day watashinda vita yao,na mnao tumia dini kumbukeni hata kwenye hizo books zenu slavery ilikuwa legit ingawaje kwa sasa its unheard mtu kusuggest ule ushenzi
wewe waa jabu kweli
slavery haina usawa, hata mungu hapendi slavery ila nitaftie kitabu gani cha dini yoyote duniani kinakubali mashoga
hao mashoga wanavkiuka maumbile ya mungu, mungu kakuumba na viungo uvitumie kama unatumia kinyume mmh...ndo maana kuna adam na hawa na si adam na abubakar.
sasa we emagine dume linaowa dume lenzake si ushenzi mkubwa wa kutupwa
wewe mwanao akiwa shoga utafurahia?
 
Sahihisha mada yako , iwe wazungu wanaruhusu ndoa za mashoga.
Walutheri wa Afrika si wazungu

Yupo sahihi hata hakuna kosa hapa kwasababu makanisa ya kilutheri huwa yanashirikia na ukizingatia hao ndo walioleta au kupeleka dini barani Africa enzi hizo vikiambatana na ukoloni/kutawala. Kwa maana hiyo basi kujiexpress cyo dhambi?
 
He yaani hatari, kufuru mpaka kwenye maeneo yanayoitwa ya ibada, hawa watu wanamjuwa mungu kweli?

Alisema Bw Yesu mwenyewe; 'Mtakapoona chukizo la uharibifu limesimama patakatifu, tambueni ...'
 
Some of you people really need to get out of the caves you are living in and explore the world. What exactly have these people done to you (and please don't quote the white mans religous garbage). Or is it just insecurities?🙁
 
Church of Sweden says yes to gay marriage

The Synod of the Lutheran Church of Sweden has come down in favour of church weddings for homosexuals in a vote held on Thursday morning.
The decision, which is based on a proposal from the church’s governing board, means that the Church of Sweden will conduct wedding ceremonies for both heterosexual and homosexual couples.

The proposal was approved by 176 of 249 voting members.

The decision comes just three days after the 30th anniversary of the date when homosexuality stopped being classified as a disease in Sweden.

“The Synod’s decision takes a stance in favour of an inclusive view of people. Regardless of whether one is religious or not, this affects the entire social climate and the view of people’s equal value,” Åsa Regnér, head of the Swedish Association for Sexuality Education (RFSU) - the country's largest gay rights group, said in a statement.

In June, the church board took the first step towards permitting same-sex marriages by submitting a petition to the Church of Sweden Synod – the church's highest decision-making body.

The board proposed the church continue to perform wedding ceremonies following new legislation which came into force on May 1st and grants same-sex couples in Sweden the same legal marriage status as heterosexuals.

Current church regulations will likely continue to apply in practice, with some alterations, such as replacing “man and wife” with “lawfully wedded spouses” when a homosexual couple is married.

Individual pastors would also still be able to refuse to perform marriage ceremonies for same-sex couples.

Since 2007, the Church of Sweden, which counts around 74 percent of Swedes as members, has offered gays a religious blessing of their union.

The ruling by the Synod, which has 251 delegates - two of which were absent from Thursday's vote, puts Sweden among the first countries in the world to allow gays to marry in a major church.

Representatives from the Catholic and Orthodox churches in Sweden, however, were disappointed by Thursday’s decision.

“It is with great sorry that we receive news that the Church of Sweden’s Synod has today decided to wed same-sex couples that it will be referred to as marriage. This is a step backwards, not only from Christian tradition, but also from all of the major world’s religions views of what marriage is,” write Vicar Fredrik Emanuelson of the Catholic Church and Father Misha Jaksic, coordinator of the family of Orthodox Churches at the Christian Council of Sweden (CCS), in a joint statement.

“We don’t wed same-sex couples in our churches and faith communities because doing so stands in clear opposition to the church’s tradition and to our entire view of creation.”

In moving ahead with the decision to perform same-sex marriages, the Church of Sweden also ignored concerns expressed earlier this year by the Church of England in a strongly worded letter to Swedish archbishop Anders Wejryd that the move could lead to “an impairment of the relationships between the churches”.

Church of England spokesperson Steve Jenkins confirmed that relations between the two churches may be headed for a turbulent phase in the wake of the decision.

“Those concerns remain,” he told The Local, referring to the letter from English bishops Christopher Hill and John Hind.

He added that he didn’t know of any plans by the English Church to issue a formal statement in response to the Church of Sweden’s decision.

TT/The Local (news@thelocal.se/08 656 6518)

Translation: English » Swahili
The Synod of the Lutheran Church of Sweden has come down in favour of church weddings for homosexuals in a vote held on Thursday morning. The decision, which is based on a proposal from the church’s governing board, means that the Church of Sweden will conduct wedding ceremonies for both heterosexual and homosexual couples. The proposal was approved by 176 of 249 voting members. The decision comes just three days after the 30th anniversary of the date when homosexuality stopped being classified as a disease in Sweden. “The Synod’s decision takes a stance in favour of an inclusive view of people. Regardless of whether one is religious or not, this affects the entire social climate and the view of people’s equal value,” Åsa Regnér, head of the Swedish Association for Sexuality Education (RFSU) - the country's largest gay rights group, said in a statement. In June, the church board took the first step towards permitting same-sex marriages by submitting a petition to the Church of Sweden Synod – the church's highest decision-making body. The board proposed the church continue to perform wedding ceremonies following new legislation which came into force on May 1st and grants same-sex couples in Sweden the same legal marriage status as heterosexuals. Current church regulations will likely continue to apply in practice, with some alterations, such as replacing “man and wife” with “lawfully wedded spouses” when a homosexual couple is married. Individual pastors would also still be able to refuse to perform marriage ceremonies for same-sex couples. Since 2007, the Church of Sweden, which counts around 74 percent of Swedes as members, has offered gays a religious blessing of their union. The ruling by the Synod, which has 251 delegates - two of which were absent from Thursday's vote, puts Sweden among the first countries in the world to allow gays to marry in a major church. Representatives from the Catholic and Orthodox churches in Sweden, however, were disappointed by Thursday’s decision. “It is with great sorry that we receive news that the Church of Sweden’s Synod has today decided to wed same-sex couples that it will be referred to as marriage. This is a step backwards, not only from Christian tradition, but also from all of the major world’s religions views of what marriage is,” write Vicar Fredrik Emanuelson of the Catholic Church and Father Misha Jaksic, coordinator of the family of Orthodox Churches at the Christian Council of Sweden (CCS), in a joint statement. “We don’t wed same-sex couples in our churches and faith communities because doing so stands in clear opposition to the church’s tradition and to our entire view of creation.” In moving ahead with the decision to perform same-sex marriages, the Church of Sweden also ignored concerns expressed earlier this year by the Church of England in a strongly worded letter to Swedish archbishop Anders Wejryd that the move could lead to “an impairment of the relationships between the churches”. Church of England spokesperson Steve Jenkins confirmed that relations between the two churches may be headed for a turbulent phase in the wake of the decision. “Those concerns remain,” he told The Local, referring to the letter from English bishops Christopher Hill and John Hind. He added that he didn’t know of any plans by the English Church to issue a formal statement in response to the Church of Sweden’s decision.

Sinodi ya Kanisa la Kilutheri wa Uswidi ina kushuka katika kanisa kwaajili ya harusi kwa walawiti katika kura uliofanyika Alhamisi asubuhi.
Uamuzi, ambayo imejikita katika pendekezo kutoka kwa uongozi wa kanisa bodi, ina maana kwamba Kanisa la Uswidi itafanya sherehe za harusi kwa wote na mashoga heterosexual couples.

Pendekezo mara 176 ya kupitishwa kwa kura 249 wanachama.

Uamuzi huja tatu tu baada ya siku 30 ya tarehe anniversary wakati ushoga kusimamishwa kuwa classified kama ugonjwa katika Uswidi.

"Uamuzi wa Sinodi inachukua msimamo kwaajili ya inayozingatia mtazamo wa watu. Bila kujali kama ni moja ya kidini au siyo, hii huathiri jamii nzima ya hali ya hewa na maoni ya watu thamani sawa, "asa Regnér, mkuu wa Swedish Association for Sexuality Education (RFSU) - ukubwa wa nchi haki za mashoga kundi, alisema katika taarifa .

Mwezi Juni, kanisa bodi alichukua hatua ya kwanza kuelekea som möjliggör jinsia moja ya ndoa na kuwasilisha ombi kwa Kanisa wa Uswidi Sinodi - wa kanisa maamuzi juu ya mwili.

Mapendekezo ya bodi ya kanisa kuendelea kufanya sherehe za harusi kufuatia sheria mpya ambayo walikuja kraft tarehe 1 Mei na misaada ya jinsia moja wanandoa katika Uswidi sawa ndoa kisheria sasa kama heterosexuals.

Hali kanuni kanisa inaweza kuendelea kutumia katika mazoezi, na baadhi alterations, kama vile kuondoa "mtu na mke" pamoja na "lagligen wedded wanandoa" wakati wanandoa ni mashoga kuolewa.

Binafsi bado pia wachungaji skulle kunna kukataa kufanya sherehe ya ndoa kwa wanandoa jinsia moja.

Tangu mwaka 2007, Kanisa la Uswidi, ambayo ina karibu asilimia 74 ya Swedes kama wanachama, ina inapatikana Gays baraka ya dini yao ya muungano.

Tawala na Sinodi, ambayo ina wajumbe 251 - wawili ambao walikuwa watoro kutoka Alhamisi kura, unaweka Uswidi kati ya kwanza katika nchi za dunia Gays kuruhusu kuoa katika kanisa kuu.

Wawakilishi kutoka Katoliki na makanisa ya Orthodox nchini Sweden, hata hivyo, walikuwa wamepotea na Alhamisi uamuzi.

"Ni sorry kubwa kwamba sisi kupokea habari kwamba Kanisa la Uswidi's Sinodi ina leo waliamua Wed jinsia moja wanandoa kuwa itakuwa inajulikana kama ndoa. Hii ni hatua nyuma, si tu kutoka mapokeo ya kikristo, lakini pia kutoka wote wa dini kubwa duniani maoni ya ndoa ni nini, "Fredrik Emanuelson kuandika Wakili wa Kanisa Katoliki na Baba Misha Jaksic, mratibu wa familia ya Orthodox Makanisa katika Christian Council wa Uswidi (CCS), katika taarifa ya pamoja.

"Hatuna Wed jinsia moja wanandoa katika makanisa yetu na imani ya jamii kwa sababu kufanya hivyo anasimama katika upinzani wazi kwa kanisa la mapokeo na maoni yetu yote ya uumbaji."

Katika kusonga mbele na uamuzi wa kufanya ndoa za jinsia moja, Kanisa wa Uswidi pia kupuuzwa walionyesha wasiwasi mapema mwaka huu na Kanisa la Uingereza katika barua worded sana Swedish askofu mkuu Anders Wejryd kwamba hoja inaweza kusababisha "ni ya kuharibika uhusiano kati ya makanisa ".

Kanisa la Uingereza Steve Jenkins msemaji alithibitisha kwamba mahusiano kati ya makanisa mbili zinaweza turbulent zinazoongozwa kwa awamu katika uamuzi wake wa.

"Wale wasiwasi kubaki," aliiambia Mitaa, akimaanisha barua kutoka Kiingereza Maaskofu Christopher Hill na Yohana Hind.

Aliongeza kuwa hakujua mipango yoyote ya Kanisa kwa Kiingereza kutoa taarifa rasmi katika mwitikio kwa Kanisa uamuzi wa Uswidi.
 
....im not gay and theres nothing wrong with being gay,they deserve the same rights as the rest of us!

kweli watu tuna mitazamo tofauti

Ni kwa nini mungu aliumba mke na mme??
kama alipenda kuwepo na mambo ya ajabu kama haya kwa nini hakuumba wanaume peke yao ,au wanawake peke yao
man think twice 🙁
 
hivi kuna watu huwa wanaenda kanisani kudhihaki au inakuwaje

na wanajifanya wanatumia maandiko ya biblia

Huko katika biblia hakuna mambo ya kijinga kama haya

Yesu rudi upesi uokoe watu wako tunaangamia
 
what is your take brother, this is Lutheran in Sweden, kama mmecopy na kupaste kila kitu , is time kusimamia mnayoyaamini.Dini zetu hizi zimekuwa vichaka vya wanafiki.watu hawajaamua wenyewe wamebakwa mawazo yao tangu walipobatizwa na dini za wazazi wao , au walipopelekwa madrasa kinguvu kana kwamba hawa watoto si watu wenye maamuzi yao ni vijinyama fulani.

wakikua ndiyo hayo sasa wanachafua makanisa , mkiambiwa baadhi ya taratibu za kibinadamu na sio za kiMungu ni mbaya, mnasema imeandikwa wapi!
 
http://www.al-fatiha.org/

Al-Fatiha

Mission Statement

The Al-Fatiha Foundation is an international organization dedicated to Muslims who are lesbian, gay, bisexual, and trasngendered, those questioning their sexual orientation or gender identity, and their friends. Al-Fatiha's goal is to provide a safe space and a forum for LGBTQ Muslims to address issues of common concern, share individual experiences, and institutional resources. The Al-Fatiha Foundation aims to support LGBTQ Muslims in reconciling their sexual orientation or gender identity with Islam. Al-Fatiha promotes the Islamic notions of social justice, peace, and tolerance through its work, to bring all closer to a world that is free from injustice, prejudice, and discrimination.

Goals and Objectives

Support Muslims who self-identify as lesbian, gay, bisexual, transgender, and those who are questioning their sexual orientation or gender identity.

Provide a supportive and understanding environment for LGBTQ Muslims who are trying to reconcile their sexuality or gender identity with Islam.

Empower LGBTQ Muslims by creating safe spaces to share individual experiences, advocating on their behalf in national and international forums, and providing information about institutional resources.

Foster spirituality among LGBTQ Muslims.

Encourage dialogue with the larger Muslim community around issues of sexuality and gender.

The Al-Fatiha Foundation aims to accomplish its mission, goals, and objectives by:

Establishing local support & discussion groups for LGBTQ Muslims in the U.S. and abroad.

Holding regional, North American, and international meetings.

Outreach on the internet.

Past, Present & Future of the Foundation

Kila siku nikisema hivyo vitabu mnavyoviita vya mungu ni vyakutungwa tu mnanibisha.
Hata hio Sodom & Gomora naona nazo nizakutungwa tu.
Kama zilikuwepo na deen wakati huo ilipinga kwanini leo masheikh na mapadre wabanjuaje?

--------------------------------------------------------------------------------

Church of Sweden says yes to gay marriage

The Synod of the Lutheran Church of Sweden has come down in favour of church weddings for homosexuals in a vote held on Thursday morning.
The decision, which is based on a proposal from the church’s governing board, means that the Church of Sweden will conduct wedding ceremonies for both heterosexual and homosexual couples.

The proposal was approved by 176 of 249 voting members.

The decision comes just three days after the 30th anniversary of the date when homosexuality stopped being classified as a disease in Sweden.

“The Synod’s decision takes a stance in favour of an inclusive view of people. Regardless of whether one is religious or not, this affects the entire social climate and the view of people’s equal value,” Åsa Regnér, head of the Swedish Association for Sexuality Education (RFSU) - the country's largest gay rights group, said in a statement.

In June, the church board took the first step towards permitting same-sex marriages by submitting a petition to the Church of Sweden Synod – the church's highest decision-making body.

The board proposed the church continue to perform wedding ceremonies following new legislation which came into force on May 1st and grants same-sex couples in Sweden the same legal marriage status as heterosexuals.

Current church regulations will likely continue to apply in practice, with some alterations, such as replacing “man and wife” with “lawfully wedded spouses” when a homosexual couple is married.

Individual pastors would also still be able to refuse to perform marriage ceremonies for same-sex couples.

Since 2007, the Church of Sweden, which counts around 74 percent of Swedes as members, has offered gays a religious blessing of their union.

The ruling by the Synod, which has 251 delegates - two of which were absent from Thursday's vote, puts Sweden among the first countries in the world to allow gays to marry in a major church.

Representatives from the Catholic and Orthodox churches in Sweden, however, were disappointed by Thursday’s decision.

“It is with great sorry that we receive news that the Church of Sweden’s Synod has today decided to wed same-sex couples that it will be referred to as marriage. This is a step backwards, not only from Christian tradition, but also from all of the major world’s religions views of what marriage is,” write Vicar Fredrik Emanuelson of the Catholic Church and Father Misha Jaksic, coordinator of the family of Orthodox Churches at the Christian Council of Sweden (CCS), in a joint statement.

“We don’t wed same-sex couples in our churches and faith communities because doing so stands in clear opposition to the church’s tradition and to our entire view of creation.”

In moving ahead with the decision to perform same-sex marriages, the Church of Sweden also ignored concerns expressed earlier this year by the Church of England in a strongly worded letter to Swedish archbishop Anders Wejryd that the move could lead to “an impairment of the relationships between the churches”.

Church of England spokesperson Steve Jenkins confirmed that relations between the two churches may be headed for a turbulent phase in the wake of the decision.

“Those concerns remain,” he told The Local, referring to the letter from English bishops Christopher Hill and John Hind.

He added that he didn’t know of any plans by the English Church to issue a formal statement in response to the Church of Sweden’s decision.

TT/The Local (news@thelocal.se/08 656 6518)
 
Wewe ni wa kuuliwa tu,huna tofauti na mbwa mwitu

Huwa najiuliza itatumika sheria ipi ikiwa hizo deen zao zote zimewakubalia hawa mabwabwa na mablenda?

Masheikh na mapadre sasa wanaenda kufanya ORGY

LOL
 
Kwa wanaojua kusoma alama za nyakati hakuna cha ajabu hapo.Ni maandiko yanatimia.............Na bado yatakuja mengine zaidi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom