Ninayo mpya kabisa toka italy haijawahi tumika ni PM Tuongee
Inauwezo gani hiyo mashine yako boss. Nazitafta sana hizo
milioni moja mayai 88,inatumia mafuta ya taa.zina guarantee ya mwakanaomba mni PM bei za hizo incubator,kwa sabab siwezi kujichinja mwenyewe kwenye bei,ni vizuri nikafaham bei ili niweze kujipanga,
Mkuu mashine ushauza au bado?? Ungeweka na picha na pia maelezo ya ziada kama made in hapa hapa TZ au ni wapi,na pia on average inatoa vifaranga vingapi ingependeza zaidi mkuu.Jamani ninauza mashine yangu ya kuangulia inabeba mayai 2162. Dhumuni la kuiuza nataka kutafuta kubwa zaidi garantii ni miezi 8. ni full automatic. Nauza sh. Mil. 1.8 maelewano yapo
Bajeti yako ni shng Ngapi? Unaitaji ya mayai Mangapi? Tunazo(made in Tanzania) za mayai kuanzia 100 to any!bei zake zinaendana na uwezo wa mayai yanayoweza ingia kwa mara moja.nipe jibu nikupe bei mkuu