Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

bab-D

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Messages
1,149
Likes
103
Points
145
bab-D

bab-D

JF-Expert Member
Joined May 2, 2015
1,149 103 145
Automatic egg incubator made by mge
Kwanini usiweke thread moja ya incubator zako? tuna waogopa sasa. tunashindwa tumuamini nani, au na ww ni tapeli? kila kona ww tu. au incubator siku hizi imekuwa dili sana?
 
ELIASANTE

ELIASANTE

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Messages
336
Likes
22
Points
35
Age
38
ELIASANTE

ELIASANTE

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2014
336 22 35
Labda ninyi mnaosoma ndo hamfungui matangazo yetu vizuri,sio kweli kabisa kuwa kila kona tupo,inategemeana na chombo unachotumia kufungua jamii forum kina uwezo gani.,vinginevyo zitakuchanganya sana.

Jambo la pili tapeli ni tapeli tu,na tapeli haweki matangazo kila kona kama unavyosema,tapeli anaweza kuwa hata kama wewe,watu wakaona umesema la maana,wakakuamini,ukawatapeli.

Sisi mge sio matapeli,na ninaomba sana utuombe radhi kwa kauli hiyo isiyo ya kiustarabu.kama ungetaka kutushauri ungetupigia hata simu au kuandika inbox,lakini si kama ulivyofanya.

Sisi sio matapeli,ni kampuni iliyosajiliwa kisheria,na kama unahitaji taarifa zetu wasiliana nasi kupitia sido mtwara,sido dar es salaam,au karibu ofisini.
Au tupigie simu.
 
Salathiel m.

Salathiel m.

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
242
Likes
8
Points
35
Salathiel m.

Salathiel m.

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
242 8 35
Ndio inatumia battery, ni sh laki 7, made in iran....100% good performance@ magazijuto
 
Genius one

Genius one

Senior Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
134
Likes
60
Points
45
Genius one

Genius one

Senior Member
Joined Jul 11, 2015
134 60 45
Nasi pia tunauza Automatic incubator mayai 7, 48, 96, 106 kutoka China.Anaehitaji aweza kuni PM
 
Kuku wa Kabanga

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Messages
812
Likes
264
Points
80
Kuku wa Kabanga

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2009
812 264 80
Labda ninyi mnaosoma ndo hamfungui matangazo yetu vizuri,sio kweli kabisa kuwa kila kona tupo,inategemeana na chombo unachotumia kufungua jamii forum kina uwezo gani.,vinginevyo zitakuchanganya sana.

Jambo la pili tapeli ni tapeli tu,na tapeli haweki matangazo kila kona kama unavyosema,tapeli anaweza kuwa hata kama wewe,watu wakaona umesema la maana,wakakuamini,ukawatapeli.

Sisi mge sio matapeli,na ninaomba sana utuombe radhi kwa kauli hiyo isiyo ya kiustarabu.kama ungetaka kutushauri ungetupigia hata simu au kuandika inbox,lakini si kama ulivyofanya.

Sisi sio matapeli,ni kampuni iliyosajiliwa kisheria,na kama unahitaji taarifa zetu wasiliana nasi kupitia sido mtwara,sido dar es salaam,au karibu ofisini.
Au tupigie simu.
Mkuu mko wapi hapa dar?
 
Tanzanite klm

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
413
Likes
172
Points
60
Age
28
Tanzanite klm

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
413 172 60
Naomba fundi wa incubator anicheki 0763976292 haraka nipo dsm tbt
 
Tanzanite klm

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
413
Likes
172
Points
60
Age
28
Tanzanite klm

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
413 172 60
Heloo,habari jamani.natafuta fundi wa incubator nipi dar es salaam.
Anisaidie kuiunga.
Ani pm namba zake
 
B

BobMsechu

Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
58
Likes
16
Points
15
B

BobMsechu

Member
Joined Aug 3, 2015
58 16 15
kuna incubator iko sokoni.. ni automatic ila mayai unageuza manually. iko very effecient na utotoleshaji ni zaidi ya asilimia 85.

inatumia umeme mdogo sana. hata solar yenye uwezo wa kuwasha taa mbili inauwezo wa kuiendesha.

capacity yake ni mayai 400. inauzwa kwa sh laki saba. kama uko interested ni pm mawasiliano yako.
Mawasiliano tafadhali
 
A

annamwombeki

Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
38
Likes
0
Points
13
A

annamwombeki

Member
Joined Jul 31, 2015
38 0 13
Sio matapeli sababu mm nilishanunua mashine kwao
 
ELIASANTE

ELIASANTE

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Messages
336
Likes
22
Points
35
Age
38
ELIASANTE

ELIASANTE

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2014
336 22 35
Napenda kutoa onyo kwa wale wote wenye tabia ya kuchomeka matangazo yao kwenye thread zangu,wakati biashara ni hiyohiyo.Natoa onyo kali kwa atakaerudia.
 
Naibili

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
1,678
Likes
32
Points
145
Naibili

Naibili

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2011
1,678 32 145
Napenda kutoa onyo kwa wale wote wenye tabia ya kuchomeka matangazo yao kwenye thread zangu,wakati biashara ni hiyohiyo.Natoa onyo kali kwa atakaerudia.
Mkuu utawachukulia hatua gani
 
Forum statistics

Threads 1,235,149
Members 474,353
Posts 29,213,277