Mashine za kutengeneza tofali aina zote zipate kwetu

Mashine za juisi ya miwa ikiwa na droo moja
IMG_20190409_075629.jpg
 
Kwa mwenye kujua zinapopatikana ofisi za Mashine hizi
Tafadhali naomba anijuze

Shukran
 
Mdau karibu kwa mashine call/sms 0717209569

MASHINE ZA TOFALI

Mashine za tofali za mkono utazipata kwa laki tano tu (500000)

Mashine za umeme zimegawanywa kutokana na uwezo wake

Mashine ya tofali moja ni million mbili na nusu (2.5m)
Mashine ya tofali mbili kwa wakati mmoja million mbili na laki saba tu (2.7m)

Mashine ya tofali nne million kumi na mbili
Na mashine ya tofali nane million 26 tu

Pia zipo za udongo hizi manual laki saba na nusu tu
Na umeme million nne tu tofali kubwa

Zipo za paving pia manual laki saba na nusu tu
Umeme inakuwa na maua manne ni million tatu na nusu

Mixer pia zipo kuanzia nusu mfuko hii 3.5m
Robo tatu 4.5m
Mfuko mzima 5.5m

Rahisisha ujenzi wako kwa kuzipata hizi mashine imara na bora 0717209569

Mashine ambayo hatuna tuulize tutakujibu

Wale wasio na umeme ipo ya mafuta 4m tu karibuni sanaView attachment 1020420View attachment 1020421View attachment 1020422View attachment 1020423View attachment 1020424View attachment 1020425View attachment 1020426View attachment 1020427View attachment 1020428

Sent using Jamii Forums mobile app
NATAFUTA YA HOLLOW BLOCKS, TOFALI ZA NCHI TANO YENYE MATUNDU MWILI YA SQUARE KATI.
 
Na mashine ya tofali nane million 26 tu

Picha Mkuu ya hi mashine na mnapatikana wapi?

Back
Top Bottom