Mashine za kutengeneza tofali aina zote zipate kwetu

hii ndugu Laki saba na nusu tuView attachment 1162996
Mimi nahitaji mnitengeneze kama hii hapa chini kitu kitoke kama kilivyo,
maquina-tijolo-ecologico-1.jpg


na allignment ya tofali iwe imesimama kweli kweli kama hii hapa chini
maquina-tijolo-ecologico-3.jpg


Bei yenu inaweza kuwa kati ya sh ngapi?
 
Nimejaribu kukupigia hupatikani ndugu! Nahitaji Interlocking Brick Making Machine, Kama mnaweza kutengeneza ya umeme it will be better but even the manual one! Please DM me some pictures!
Sorry ndugu huenda simu yetu ilikuwa off muda huo
Hizo mashine tunazitengeneza kwa laki saba na nusu tu
Na kama ni umeme millioni nne na nusu karibu lolote tupigie 0659567058

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom