Mashine za kutengeneza tofali aina zote zipate kwetu

Job Richard

Verified Member
Feb 8, 2013
3,489
2,000
Najidakia online store wanakuletea tofali aina zote tunaendesha karakana mbili kisukulu na Vingunguti

Mashine za tofali za mkono utazipata kwa laki tano tu (500000)

Mashine za umeme zimegawanywa kutokana na uwezo wake

Mashine ya tofali moja ni million mbili na nusu (2.5m)
Mashine ya tofali mbili kwa wakati mmoja million mbili na laki saba tu (2.7m)

Mashine ya tofali nne million kumi na mbili
Na mashine ya tofali nane million 26 tu

Pia zipo za udongo hizi manual laki saba na nusu tu
Na umeme million nne tu tofali kubwa

Zipo za paving pia manual laki saba na nusu tu
Umeme inakuwa na maua manne ni million tatu na nusu

Mixer pia zipo kuanzia nusu mfuko hii 3.5m
Robo tatu 4.5m
Mfuko mzima 5.5m

Rahisisha ujenzi wako kwa kuzipata hizi mashine imara na bora 0762612213 tupigie kuziona tumeziweka katika application yetu najidakia deals play store
Au website yetu www.najidakia.com (soon inarudi hewani)

Mashine ambayo hatuna tuulize tutakujibu

Wale wasio na umeme ipo ya mafuta 4m tu karibuni sana
IMG-20170710-WA0039-1.jpg
IMG-20190112-WA0002.jpg
IMG-20170917-WA0020.jpg
bg_p-21-57-02-5-30-2018.jpg
IMG-20190112-WA0005.jpg
tapatalk_jpeg_1521187743647.jpg
IMG-20170917-WA0028.jpg
IMG-20170917-WA0029.jpg
IMG-20190112-WA0008.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom