Mashine ya kutotolea vifaranga

Maarifa

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
4,568
2,913
jamani wana jamvi,
nilinunua kuku wa kienyeji kama 40 hivi kijijini. Sasa wameanza kutanga kwa fujo kweli. Lengo niwe na kuku wengi , shida kila anayetaka kuatamia wengine wanamfanyia fujo. Nimesikia kuna mashine za kutotolea vifaranga mwenye taarifa kamili please pm me asap. Mbarikiwe sana
 
Call 0779420000
 
Wakatie vyumba, sehemu ya kutagia iwe tofauti na ya kuishi.
Kabla hujapata mashine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom