Mashine ya Kufulia inauzwa, Samsung Washing Machine.

fmlyimo

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
331
Reaction score
210
Price: 500,000/=
Washing Programmes: 5
Wash Load: 6.0 Kg
Type of Washing Machine: Fully Automatic
Control Type: Silver Nano
Display Type: Digital display
Loading Type: Top Loading

Contact: 0659890000

Additional features

√ 6 Kg Wash Capacity
√ Silver Nano
√ Center Jet Pulsator
√ 5 Step super clean system
√ New Gentle Blue Foldable Window
√ Water Saving Tub
√ Foldable Transparent Window
√ Cold Water Inlets
√ 5 Water Level - Extra Low, Low, Medium, High & Maximum.
√ 5 Wash Program - Super Clean, Fuzzy, Speedy, Wool & Blanket (Heavy)
√ Delay Start
√ Auto Restart with Memory Back-up
√ Child Lock
√ Digital Display

IMG_20170829_093203.jpg

IMG_20170829_093215.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ya mwaka gani? Hizi mashine life span haizidi miaka 4. Baada ya hapo inabidi kuidespose tu kama scrapper.
Life span haina nafasi kubwa sana Bongo. Nyumbani kwa Mzee kuna fridge ambayo inabidi niwe naipa shikamoo, na bado anapiga kazi.
Kitu cha msingi ni kudeliver.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni wadau,
Mashine bado ipo.
 
Life span haina nafasi kubwa sana Bongo. Nyumbani kwa Mzee kuna fridge ambayo inabidi niwe naipa shikamoo, na bado anapiga kazi.
Kitu cha msingi ni kudeliver.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jibu nimelipenda sana
Lakini bei iko juu sana,nilipita mlimani city duka la Game kuna mashine mpya za kuendesha kg 6 zinauzwa Tsh 600,000 tu nenda kafanye survey utaniambia
 
Price: 500,000/=
Washing Programmes: 5
Wash Load: 6.0 Kg
Type of Washing Machine: Fully Automatic
Control Type: Silver Nano
Display Type: Digital display
Loading Type: Top Loading

Contact: 0659890000

Additional features

√ 6 Kg Wash Capacity
√ Silver Nano
√ Center Jet Pulsator
√ 5 Step super clean system
√ New Gentle Blue Foldable Window
√ Water Saving Tub
√ Foldable Transparent Window
√ Cold Water Inlets
√ 5 Water Level - Extra Low, Low, Medium, High & Maximum.
√ 5 Wash Program - Super Clean, Fuzzy, Speedy, Wool & Blanket (Heavy)
√ Delay Start
√ Auto Restart with Memory Back-up
√ Child Lock
√ Digital Display

View attachment 577131
View attachment 577133

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ni kwa nini umeamua kuiuza?
 
Hili jibu nimelipenda sana
Lakini bei iko juu sana,nilipita mlimani city duka la Game kuna mashine mpya za kuendesha kg 6 zinauzwa Tsh 600,000 tu nenda kafanye survey utaniambia
Hizo unazozizungumzia wewe ni semi automatic.
Hii ya kwangu ni full automatic,
Yaani wewe unaweka nguo tu, unaenda kulala.
Yenyewe inaingiza maji, inaweka sabuni, inaloweka, inafua, inasuuza, inakamua na kukausha. Ukiamka unachukua nguo unapasi, unavaa, unasepa.
 
Hiyo si itakuwa ni gharama sana mkuu?
Pia naomba kuuliza, hizi mashine hazitumii umeme mkubwa sana? I mean kama nyumba yangu inatumia umeme wa single phase itafaa au ni mpk niwe na 3 phase?
 
Ok,kwa hiyo unasepa wapi??
 
Hizo unazozizungumzia wewe ni semi automatic.
Hii ya kwangu ni full automatic,
Yaani wewe unaweka nguo tu, unaenda kulala.
Yenyewe inaingiza maji, inaweka sabuni, inaloweka, inafua, inasuuza, inakamua na kukausha. Ukiamka unachukua nguo unapasi, unavaa, unasepa.
Mashine yako nzuri natamani ngeuza ya kwangu ninunue yako maana yangu inaniuza kuhamisha nguo kutoka sehemu ya kufulia kwenda sehemu ya kukaushia kwakwel ngoja nitagte mteja nione kama ntawahi yako
 
Hizo unazozizungumzia wewe ni semi automatic.
Hii ya kwangu ni full automatic,
Yaani wewe unaweka nguo tu, unaenda kulala.
Yenyewe inaingiza maji, inaweka sabuni, inaloweka, inafua, inasuuza, inakamua na kukausha. Ukiamka unachukua nguo unapasi, unavaa, unasepa.
Hyo mashine yako ulinunua Bei gani Mkuu?
 
Hiyo si itakuwa ni gharama sana mkuu?
Pia naomba kuuliza, hizi mashine hazitumii umeme mkubwa sana? I mean kama nyumba yangu inatumia umeme wa single phase itafaa au ni mpk niwe na 3 phase?

hapana mamy inakula km brenda tu !kawaida
 
Itabidi nijipatie yangu. Nikifikiriaga kufua naumwa, hapa natakiwa kufua tangu jana najizungusha..

haahaha jaman hakuna kitu nakipenda km kufua ! mie naitumiaga mara moja moja ! jaman napenda kufua ila iwepo omo na maji ya uhakika ! mie sipend kupiga pasi huwa naugua
 
Back
Top Bottom