Mashindano ya VITAMBI ~~~Bongo~~~

Hizo zilikuwa shamlashala za kuipokea precision mbeya.
 
washindane vibamia tuone ka hata vitaonekana:becky:
 
Mkuu huyu mwenye suti nyeusi kama namfaham, tumekua mtaa mmoja mara ya mwisho naondoka mbeya alikuwa anajihusisha sana na mambo ya habari. siwezi kusema ni mwandishi wa habari kwa sababu hakusomea ila jamaa alikuwa ni muongeaji sana na ni mtu wa kujichanganya sana na watu wakubwa naweza kuita kipaji.
 
Huo ndio uwanja mpya wa ndege wa songwe? Kweli nchi yangu bado sanaaa.
 
nwdayz ni mshereheshaji pande hzo,tukiwa wadogo alikitamani sana kitambi extent alikunja upindo wa kaptura kwa ndan ili aweze kuvalia surual kipapaa.pia cku za pasaka kaigiza sana maigizo ya kuteswa na kufa kwa yesu kanisa ya morovian mbeya.nwayz hongera zake.
 
SONGWE INTERNATIONAL AIR PORT, (SIA) hili vumbi kweli hata pavement block zimekosekana?
Na utakuta mkandarasi kama akina Msopakyindi, ashakabidhi kazi.
Kwenye vitabu Project Cost 13.6 billion....!
 
SONGWE INTERNATIONAL AIR PORT, (SIA) hili vumbi kweli hata pavement block zimekosekana?
Na utakuta mkandarasi kama akina Msopakyindi, ashakabidhi kazi.
Kwenye vitabu Project Cost 13.6 billion....!

Bila kuadabishana fedha za umma zitaendelea kutafunwa bila huruma na tutabaki nyuma kimaendeleo siku zote. Tuna uongozi usiojiamini matokeo yake ndio haya, wahalifu wanafanya wanavyopenda halafu mwisho wa siku utasikia kuanzia sasa serikali haitavumilia tena.
 
Tatizo Mkuu, hakuna wakumnyooshea mwenzie kidole, hapa ni kuongozana vipofu mpaka watakapo tumbukia shimoni.
Nani amfunge paka kengele???????
 
Ha ha Baba Junior tumekua mtaa mmoja naona lol. yaani kila ulichosema ni kweli kabisa
 
Ha ha Baba Junior tumekua mtaa mmoja naona lol. yaani kila ulichosema ni kweli kabisa

Anaitwa Mwakipesile kama sijakosea yuko busy sana na matamasha hlf anajifanya ni repoter wa baadhi ya vituo vya redio kimsingi jamaa anapiga domo sana kwa mkuu wa mkoa anaingia kama kwake lkn hana cheo chochote Mbeya.
 
mjini mipango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…