Mashindano ya ubora wa bangi

Mashindano ya ubora wa bangi

Hakukamati mtu.......si unaonyesha tiketi kwamba unaenda kutangaza nchi.........mpaka bendera utapewa............hii ni Tanzania bana.........

Dah... Umenipa bonge la solution. Ngoja nitalifanyia kazi!
 
mimi nimevuta bangi ya tabota, tarime, mbeya, iringa, malawi, moro ila ukipata kitu cha chugga kule kwa bibi sio haya mabushabu wanayouziwa town unaweza kuvuta hadi unachukia ganja yako kitu unaona hakiishi kinazima kama mara mia hivi ukivuta asubuhi unaenda mzigo kinakaa kichwani hadi lunch time!
 
Bangi tamu ni ya Chugga bhana.Mmenikumbusha....ngoja niende Ngarenanyuki...
 
Upate kitu cha Zaire ndio komesha,kinakaa wiki nzima Kichwani,hata ukipiga fegi tu chenyewe kinaamka kichwani,


Onyo;

Uvutaji Sigara na Bangi ni hatari kwa Afya!!
 
Haile selasia wa Ethiopia kwa jinsi alivyoithamini ndumu aikuwa anamwagilia bustan kabisa na aliiwekea ulinzi mkali
 
Back
Top Bottom