Mashindano ya ubora wa bangi

Mashindano ya ubora wa bangi

Moro kitu cha Doma usipime!! Arusha kitu cha Ngaramtoni na Kisimiri usipime!! Afu kuna kitu cha Malawi
The Malawian weed has been famous in all of UK for long...which is to say cha Makete kiko juu maaana ni ukanda mmoja..Cannabis sativum inawatimiaji wengi na hatausiowategemea.
 
kipo cha ukerewe-Mwanza, anakamatwa mbuzi, anafungiwa bandani kwa siku tatu bila kupewa chakula, then analetewa majani ya bangi anakula yakutosha tu, akinya vile vipunje vinachukuliwa vinafungwa kwenye mfuko wa plastic vinadumbukizwa kwenye shimo la choo kwa siku tatu, baada ya hapo kitu tayari,

kile kipunje kimoja kinauzwa 1000, ukipiga hapo mama yanguuuuuu....
 
Nimeipenda hii ngoja nitafute kibari nasi tufanye hapa kwetu.... Zinduna utatafuta wadhamini...?
 
Last edited by a moderator:
'Jani likulie milimani kwenye baridi na maeneo ya mawe mawe....au miamba....' pafu moja tu kama unaanza uvutaji, unafyatuka palepale nakuanza kutembea umeina ukiulizwa kwa nini unatembea umeinama unawajibu...nyie hamuoni hiyo mbingu ilivyo karibu nikitembea wima wima sitanigonga kichwa.!!

UVUTAJI WA BANGI NA UTUMIAJI WA AINA NYINGINE YA MADAWA YA KULEVYA NI HATARI KWA AFYA YAKO YA MWILI NA KIAKILI; PIA NI HATARI KWA NDUGU ZAKO JAMAA ZAKO, KIZAZI CHA SASA NA VIZAZI VIJAVYO.

KOMESHA KWA NGUVU ZOTE MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA

.....akili yako haina akili, bangi iite vyovyote iweke daraja unalopenda iwe itabaki kuwa mmea tiba
 
Bangi ni tiba, bangi ni starehe, bangi ni ibada na mwisho bangi SIO madawa ya kulevya. Mtoto koma!

Watu wa pila ni wapuuzi, ni vibaraka wanaotumika kwa lolote liwalo, hata wenyewe hawajui kwanini wanatumika. Nawaonea huruma...
Puff puff moshi ujinga ukutoke!

Kwa utafiti upi ulifanya mkuu...other drugs yes, but weed [herb] so safe and healthy friendly

Nyambaf kabisa!

.....akili yako haina akili, bangi iite vyovyote iweke daraja unalopenda iwe itabaki kuwa mmea tiba

Aisee....nini kimeingizwa kwenye 'msuba', kiasi cha watu kuwa tayari kungoana kucha...!? Au mnafidika na biashara hii haraamu?

BlackBold: Yawezekana zisipatikane tafiti zilizoko kwenye maandishi kwa muda, lakini kwa watumiaji wa kilevi hiki amadhara yanayowapata kitaa...sisi tulioko huko tunashuhudia wanavyoharibikiwa.

Msimamo wangu uko pale pale:

UVUTAJI WA BANGI NA UTUMIAJI WA AINA NYINGINE YA MADAWA YA KULEVYA NI HATARI KWA AFYA YAKO YA MWILI NA KIAKILI; PIA NI HATARI KWA NDUGU ZAKO JAMAA ZAKO, KIZAZI CHA SASA NA VIZAZI VIJAVYO.

KOMESHA KWA NGUVU ZOTE MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA
 
Da Zinduna cha Tarime noma sana, Bangi nibangue. Hii kitu ni nzuri waruhusu watu waende kwenye hayo maonyesho.
 
Last edited by a moderator:
Nimeponda sana kokoto ndogo kwa ajili dingi kuvutia hii kitu na kamwe shambani huwa haiishi. Binafsi sijawahi kutumia ila naipenda maana dingi akivuta anashinda shambani mpaka jioni.
 
Natamani kupeleka sample toka shambani kwetu kule Bunchari, tuna ekari kadhaa. Ila nahisi nikipeleka nitakuwa nimejipeleka selo mwenyewe bila kushurutishwa na mtu.

Et mura omweito Excel nifanyeje?
 
Last edited by a moderator:
kipo cha ukerewe-Mwanza, anakamatwa mbuzi, anafungiwa bandani kwa siku tatu bila kupewa chakula, then analetewa majani ya bangi anakula yakutosha tu, akinya vile vipunje vinachukuliwa vinafungwa kwenye mfuko wa plastic vinadumbukizwa kwenye shimo la choo kwa siku tatu, baada ya hapo kitu tayari,

kile kipunje kimoja kinauzwa 1000, ukipiga hapo mama yanguuuuuu....
dah mwana umenikumbusha mbali kinyama!....Lost Boyz walipotimba bongo walipewa kitu cha Malawi afu mixer kama hyo ila ya ma.vi ya ng'ombe!.....puff kunya,puff kujamba!!...zingine zote famfa tu!
 
kipo cha ukerewe-Mwanza, anakamatwa mbuzi, anafungiwa bandani kwa siku tatu bila kupewa chakula, then analetewa majani ya bangi anakula yakutosha tu, akinya vile vipunje vinachukuliwa vinafungwa kwenye mfuko wa plastic vinadumbukizwa kwenye shimo la choo kwa siku tatu, baada ya hapo kitu tayari,

kile kipunje kimoja kinauzwa 1000, ukipiga hapo mama yanguuuuuu....

Ya kweli haya?????
 
.....akili yako haina akili, bangi iite vyovyote iweke daraja unalopenda iwe itabaki kuwa mmea tiba

bangi inatibu nini? mods hebu futa hii thread ya wahalifu
 
utamu wa ngoma ucheze kwa step utapenda ila ukiwa na papara hufaidi kitu......kama una mtu wako wa karibu au ndugu kama anasumbuliwa na pumu mpe dozi ya mmea kutwa moja mara mbiliiii.....😛😛😛😛
 
Attachments

  • 1416006242564.jpg
    1416006242564.jpg
    29.5 KB · Views: 200
Back
Top Bottom