Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
bangi inatibu nini? mods hebu futa hii thread ya wahalifu
Hujui kwamba ni one of the herbs..........?........binafsi natumia kwenye nywele.......how.....ndio hivyo........
bangi inatibu nini? mods hebu futa hii thread ya wahalifu
Natamani kupeleka sample toka shambani kwetu kule Bunchari, tuna ekari kadhaa. Ila nahisi nikipeleka nitakuwa nimejipeleka selo mwenyewe bila kushurutishwa na mtu.
Et mura omweito Excel nifanyeje?
kimsingi bangi si mbaya ila watu hawajui namna ya ukitumia
utamu wa ngoma ucheze kwa step utapenda ila ukiwa na papara hufaidi kitu......kama una mtu wako wa karibu au ndugu kama anasumbuliwa na pumu mpe dozi ya mmea kutwa moja mara mbiliiii.....😛😛😛😛
Aisee....nini kimeingizwa kwenye 'msuba', kiasi cha watu kuwa tayari kungoana kucha...!? Au mnafidika na biashara hii haraamu?
BlackBold: Yawezekana zisipatikane tafiti zilizoko kwenye maandishi kwa muda, lakini kwa watumiaji wa kilevi hiki amadhara yanayowapata kitaa...sisi tulioko huko tunashuhudia wanavyoharibikiwa.
Msimamo wangu uko pale pale:
UVUTAJI WA BANGI NA UTUMIAJI WA AINA NYINGINE YA MADAWA YA KULEVYA NI HATARI KWA AFYA YAKO YA MWILI NA KIAKILI; PIA NI HATARI KWA NDUGU ZAKO JAMAA ZAKO, KIZAZI CHA SASA NA VIZAZI VIJAVYO.
KOMESHA KWA NGUVU ZOTE MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA
bangi inatibu nini? mods hebu futa hii thread ya wahalifu
Cha Moro lazima kichwa kigonge na cha tabora lazima usikie njaa.
Arusha wamejitahidi unakuwa uko HIGH ila twende mbele turud nyuma kitu cha Malawi ni kwere.
Nashkuru sasa hivi nimeacha kula Mmea nimeelekea kwa Yesu
Jaaah....! Kumbe na sisi twashindanisha zetu kiaina...Moro cha mtoto, ngoja waje mashuhuda wa Arusha
Vuta bangi uondokane na stress,MIMI NA BANGI KATU HATUTAACHANA
Ngoja nipeleke cha Tarime yaani unakitoa shambani kibichi na cha kijani halafu unachimba shimo unaweka matawi ya migomba chini unaweka kitu unamalizia na matawi unafukia siku saba baada ya hapo unakitoa kinakuwa kimeiva kimeiva kimekuwa cha njano unakitoa unakipeleka unakiweka
kwenye choo shimo ndani mpaka kinanyauka na kukauka ukikitoa hapo mtu akavuta lazima avue nguo Asante bhangi umetusomesha wengi na hauna madhara mengi kama sigara.
'Jani likulie milimani kwenye baridi na maeneo ya mawe mawe....au miamba....' pafu moja tu kama unaanza uvutaji, unafyatuka palepale nakuanza kutembea umeina ukiulizwa kwa nini unatembea umeinama unawajibu...nyie hamuoni hiyo mbingu ilivyo karibu nikitembea wima wima sitanigonga kichwa.!!
UVUTAJI WA BANGI NA UTUMIAJI WA AINA NYINGINE YA MADAWA YA KULEVYA NI HATARI KWA AFYA YAKO YA MWILI NA KIAKILI; PIA NI HATARI KWA NDUGU ZAKO JAMAA ZAKO, KIZAZI CHA SASA NA VIZAZI VIJAVYO.
KOMESHA KWA NGUVU ZOTE MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA