Mashindano ya ubora wa bangi

Mashindano ya ubora wa bangi

Jani limemgeuza my braza kuwa nusu chizi akivuta nyumbani hatulali akiwa hajavuta mpore mpaka huruma, i hate bang i hate wavutaji i hate wauzaji...!

Effects za mjani hutegemea IQ na attitude ya mtu. Mjani huweza kuwa kichocheo cha maarifa au upumbavu..
Maisha yafaa nini bila ganja!?
 
Upate kitu cha Zaire ndio komesha,kinakaa wiki nzima Kichwani,hata ukipiga fegi tu chenyewe kinaamka kichwani,


Onyo;

Uvutaji Sigara na Bangi ni hatari kwa Afya!!
Mkuu, Msumbiji ndio mwisho. Huwa mbuzi wanakalishwa siku nne bila kula, kisha wanafunguliwa kwenye shamba la majani... Wakikata gogo mbegu zake ndio mpango mzima. Mtoto hatumwi sokoni...
Bangi sio hatari kwa afya, ni tiba!
 
Hii bangi inavyo pewa sifa.....aliye gundua sijui alikuwa anafanya nini hata
 
My Favorite tracks za bangi..
2 joints by Bob Marley.
Marijuana by Yela Wolf
Young, wild and Free- Snoop and Wiz.
Ganja Farmer..
High as Hell by B.O.B
Legalize it...
Plus I also Got my own unrecorded song About weed.. And I feel so comfortable when I'm on it.. Yaani weed is the favorite plant among all that Jah ever created... I love it.
 
Back
Top Bottom