Mashindano ya miss Tanzania.

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
58,275
Reaction score
167,455
Haya mashindano ya miss Tanzania kwa sasa ni takataka kabisa , binti ana masikio kama popo au kama ya min hapa anashinda ,eti awe anajua kingereza tu , takataka kabisa.


Mtu ana komwe lakutisha anashinda eti🤔, mashavu kama puto nae anaibuka na ushindi kabisa🤣

Waandaaji wa hayo mashindano wajifunze kwa India, ufilipino na American .

Mtu kuwa mweusi sio kigezo cha kushinda miss Tanzania nyumbu nyie , tutawakumbuka sana kina faraja kota na wema sepetu enzi zao🥲
 
Pamoja na kua na mambo mengi hivi bado unafatilia haya mambo!????
 
Hawana mvuto wowote ma miss Tanzania wenu , Pumbavu zenu bora muweka hata wenye tako tu kmmmk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…