Tatizo la mwandishi ni Lugha mama yake ..naisi ni mtu wa kanda ya ziwa kule nyumbani...
Tatizo ni kwamba amechanganya madesa ndo maana amevuruga! Mbona Mtei kapatia ila naona umembania? au hii outing ilikuwa special kwa....Kwa hiyo lazima mtu upige kwanza reverse translation to his mother tongue ndio upate ujumbe? :A S 39:
Tatizo laga zimeshakolea ngoja niende home nikalale naona ban inanukiaMambo gani sasa hayo? :nono:
Nina deni lako la LUNCH, wala sibishi! ila kwa night out lazima uingie shindano...
na wewe hapo penye nyekundu ndio lugha mama ya kwenu inaandikwa hivyo?
Amepatia??? amajibuje? Makosa ngapi kwa kiswahili? ngapi kwa kingereza na mwandishi alimaanisha nini? that was the question. sasa yeye kapigilia mstari tu makosa, hajajibu lolote.Tatizo ni kwamba amechanganya madesa ndo maana amevuruga! Mbona Mtei kapatia ila naona umembania? au hii outing ilikuwa special kwa....
Ndio, umesha kosea kaka, na hakuna kujipanga tena. poleeee labda aje sasa platozoom
Nicas hapo kuna typo error. .komaa na huyu bibie akupe zawadi aliyosema kama uko mbali naweza kukuwakilisha!!
Leo nipo chit chat mood zaidi. kuna mtu alinambia alikuona...
Kuna alternative ya shopping, then cinema/taarab halafu sleep over with gossips about our lovers behaviors. 🙂
Makosa ngapi kwa kiswahili? ngapi kwa kingereza...