Mashindano: Nani anataka a night out with Roulette?

Mashindano: Nani anataka a night out with Roulette?

Roulette

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
5,568
Reaction score
5,388
Wanajamvi, nimekutana na hii post jukwaa fulani serious, wanajadili watu serious. Nikashindwa kuchakachua thread, ila pia roho haikunipa, nilishindwa kabisa kumeza. Hivo nimeamua nilete post huku ili tuichakachue.
Shindano lenyewe ni kujibu masuali kadhaa, atakae shinda wa kwanza atajipatia a night out with me (I mean an early dinner, movie and clubbing hadi saa saba hivi, all on me! Nitakuja peke yangu, but aki insist nakuja na AshaDii)

Hii nchi bana haina mpangilio ktk matumizi ya lasili mali,
madini ya zahabu, tanzanite, aridhi, gesi haya huku urenium tunauza nyote ndani ya miongo miwili
mkapa na kikwete) je vizaz vijavyo vitauza nn maana ndo jia pekee ya uchumi tulio jiwekea vilaza sisi.
always we follow under weak sustainable policy. hebu mlioko karibu na watawala muwashauri.

1. Post ina makosa mangapi ya kiswahili?
2. Post ina makosa mangapi ya kingereza?
3. Poster alimaanisha nini (can you paraphrase him?)

Disclaimer: Naweza kubadili mawazo kuhusu winning prize saa ni saa, bila kutoa taarifa.
Excluded from competition EMT, Kongosho and Maundumula
 
Muongozo wa spika

Vigezo vilivyotumika kunichakachua kwenye kinyang'anyiro ni kipi?

Sijaaunga mkono hoja.

Ila kama nafurahia maana mtaani najitangaza 'lourreti'
 
Hii nchi bana haina mpangilio ktk matumizi ya lasili mali, madini ya zahabu, tanzanite, aridhi, gesi haya huku urenium tunauza nyote ndani ya miongo miwili
mkapa na kikwete) je vizaz vijavyo vitauza nn maana ndo jia pekee ya
uchumi tulio jiwekea vilaza sisi.
always we follow under weak
sustainable policy. hebu mlioko
karibu na watawala muwashauri.

Mi nimeona makosa hapo penye red. Hapo kwa mkapa na Kikwete amekosea kwa kutofungua mabano.
 
Kama ni mtu naweza kum-influence nitamleta. Ila kama ukimtaja mtu sina mazowea nae nitashindwa.


Kwetu sie wa 1947, kutoka out na mtu (tena wa jinsia tofauti) lilikuwa jambo kubwa sana....Wengine hata iliwabidi wasafiri kwenda mbali sana kutafuta vitendea kazi (nguo, raizoni, pafyum n.k) ili mtoko uwe wa kihistoria....!

Una maana ya mtoko kama huo??

Naomba jibu kabla sijajificha...

Babu DC!!
 
Na hivi umesikia the bill is on her! Yaani kwa kuhusudu uslope nimekushidwa blaza kaka
Hii nchi bana haina mpangilio ktk matumizi ya lasili mali, madini ya zahabu, tanzanite, aridhi, gesi haya huku urenium tunauza nyote ndani ya miongo miwili
mkapa na kikwete) je vizaz vijavyo vitauza nn maana ndo jia pekee ya
uchumi tulio jiwekea vilaza sisi.
always we follow under weak
sustainable policy. hebu mlioko
karibu na watawala muwashauri.

Mi nimeona makosa hapo penye red. Hapo kwa mkapa na Kikwete amekosea kwa kutofungua mabano.
 
Back
Top Bottom