EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,357
This is discrimination at its best.
Hawana madhara Babu DC ila ukiwachokoza wanang'atajeee.
We si ulikua kule nilipochota hii post?
Mbona unaniangusha sasa na wewe Lily Flower,
Hawa hawezi kung'ata hata siku moja.....
Hivi wale ng'ombe au mbuzi waliohasiwa wanaweza kurejeshewa nanihi zao?
Babu DC!!
kwenye thread yako ya uranium.
Sijakuangusha Babu yangu kipenzi Dark City, hapo umeshasema ng'ombe na mbuzi
nyuki hatolewi mshale wake
who is brave enough kumkamata nyuki na kumtoa mshale wake???
Alter... Mie naomba tu feedback kama kuna mshindi na kama nipo kwenye hiyo dinner ama lah... :A S shade:
Haya. tutaenda movie kuangalia prometheus. sawa?
Au twende for a walk by the sea to "Marina"?