Mashindano: Nani anataka a night out with Roulette?

Mashindano: Nani anataka a night out with Roulette?

Kwetu sie wa 1947, kutoka out na mtu (tena wa jinsia tofauti) lilikuwa jambo kubwa sana....Wengine hata iliwabidi wasafiri kwenda mbali sana kutafuta vitendea kazi (nguo, raizoni, pafyum n.k) ili mtoko uwe wa kihistoria....!

Una maana ya mtoko kama huo??

Naomba jibu kabla sijajificha...

Babu DC!!

Hata mimi wa 1947. Ndio, ni mtoko ule wa ukwee, wa enzi zetu.
 
Hata mimi wa 1947. Ndio, ni mtoko ule wa ukwee, wa enzi zetu.


Haya bwana,

Nawatakia kila la heri...

What else can I say.....Ngoja niendee na pensheni yangu huku pembeni nayashangaa na kuyatukuza mapengo ya bibi...

Babu DC!!
 
Muongozo wa spika

Vigezo vilivyotumika kunichakachua kwenye kinyang'anyiro ni kipi?

Sijaaunga mkono hoja.

Ila kama nafurahia maana mtaani najitangaza 'lourreti'

Hahahaha, nilikua sijaona hii post. Wewe na wengine nimewatoa sababu mlikua kwenye mjadala nilipotoa hii post. Na nimependa hiyo Loureti. hahahaha
 
Hii nchi bana haina mpangilio ktk matumizi ya lasili mali, madini ya zahabu, tanzanite, aridhi, gesi haya huku urenium tunauza nyote ndani ya miongo miwili
mkapa na kikwete) je vizaz vijavyo vitauza nn maana ndo jia pekee ya
uchumi tulio jiwekea vilaza sisi.
always we follow under weak
sustainable policy. hebu mlioko
karibu na watawala muwashauri.

Mi nimeona makosa hapo penye red. Hapo kwa mkapa na Kikwete amekosea kwa kutofungua mabano.

Hujui kuhesabu? tumia vidole vya mikono na vya miguu ikibidi, then njoo na jibu
 
Kwa hiyo huwezi jibu? si utumie hiyo hiyo ya kichina, au sijaelewa?
Napata shida kwenye kuscroll mpaka jasho linanitoka. Sema kuna kitu hapa sijakielewa vizuri. Hivi hiyo out itahusisha na mambo yetu yale?
 
Back
Top Bottom