Mashindano: Nani anataka a night out with Roulette?

Mashindano: Nani anataka a night out with Roulette?

Mshindi ni mimi AshaDii
Ntafurahi tukiwa wote kwenye dinner

Hongera saana Erickb, mie sina wasi wasi... Alter akicha nicomfimia kuwa natakiwa bila hiyana nitakuwepo. Niarifiwe tu dressing code maana sijatambua wapi tunaenda ili nikanunue nguo kwa ajili ya hilo tu! Lol

Vibaya hivyo kupotea/potezwa kiasi hicho Da Asha.....lol!!

Naamini yote ni mema...

Babu DC!!

Makosa si ya makusudi haya kaka... Ya bila kutarajiwa; hivyo naomba tu kusamehewa bureee!
 
Mhn! Yaani from being excluded to being fast-tracked kutoka out na wewe?

You don't need to participate to a JF competition to get a hangout with me, or when did we change things?
 
HOw did you win? Where? who proclaimed you??? AshaDii, njoo mara moja!


Hivi wewe mtoto wa Kifaransa hujapata kivuta macho na moyo??

Kama ni kweli basi hii dunia ya dotcom imekuwa tasa,


Babu DC!!
 
Hongera saana Erickb, mie sina wasi wasi... Alter akicha nicomfimia kuwa natakiwa bila hiyana nitakuwepo. Niarifiwe tu dressing code maana sijatambua wapi tunaenda ili nikanunue nguo kwa ajili ya hilo tu! Lol



Makosa si ya makusudi haya kaka... Ya bila kutarajiwa; hivyo naomba tu kusamehewa bureee!

Granted...tena hapa duniani na hata kule nyumbani kwa Mola wetu....

Why not...wakati mdada wa watu unawajibika ipasavyo..lol!!


Babu DC!!
 
yani kaka Filipo watanzania wanapenda sana zawadi hebu ona hapo wanavyojifaragua utadhani nini wanapenda vitu mteremko, naomba utaratibu naibu sipika
 
Last edited by a moderator:
yani kaka Filipo watanzania wanapenda sana zawadi hebu ona hapo wanavyojifaragua utadhani nini wanapenda vitu mteremko, naomba utaratibu naibu sipika


UNASUBIRI NINI KUFANYA MAAMUZI SASA?, UNANGOJA NINI KUCHUKUA HATUA
ILIYONYOOKA?ACHA KUOGOPA WEKA NIA MBELE NA THUBUTU SASA ...........

Nataka kufanya maamuzi magumu..........
 
Back
Top Bottom